Makapuku Forum

Makapuku Forum

2/India
9992d3d0665e985a8b2d9dd5793b961a.jpg
3267116d45a7b6edee546a4cab90476c.jpg
Kwa kipindi kirefu bangi ilikuwa ni halali hadi hapo karne ya 19 walipoanza nongwa na hivyo kuwa haramu
3.4% wanavuta bang(i ila kumbukeni Wahindi wapo bilion i1.2 inashika #2 kwa idadi ya watu duniani nyuma ya China)
Wahindi Milioni 39 ni wavuta bangi
.......
Aisee inashangaza sana

Ila ni maisha tu
 
1/Marekani
0ba3b6be7e6ea8dc061b81c0fd634ba3.jpg
e4b8bdfb258f5ee39c0a8a5b2687e389.jpg

Hata Barack Obama ujanani alipuluza sigara kubwa
Kwenye majimbo zaidi ya 20 nchini Marekani kuvuta bangi ni halali ila ni kwa kuzingatia ushauri wa kidaktari
Wamarekani 14% ni wavuta bangi ambayo ni sawa na watu milioni 44
.
.
.
.
.
Ahsanteni kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
............
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom