Makapuku Forum

Makapuku Forum

3/Nigeria
8b53f69c99d650434c3cd87be8c7abe2.jpg
ef42c3fae72c208dfa98204844b6b845.jpg

Nchi hii ya matapeli wa Afrika Magharibi bangi ni haramu lakini wanapuliza ni km kawa
14% ya Wanigeria ni wavuta bangi
Yaani watu Milioni 25
........
Kibongo bongo nikama nusu ya watz
 
2/India
9992d3d0665e985a8b2d9dd5793b961a.jpg
3267116d45a7b6edee546a4cab90476c.jpg
Kwa kipindi kirefu bangi ilikuwa ni halali hadi hapo karne ya 19 walipoanza nongwa na hivyo kuwa haramu
3.4% wanavuta bang(i ila kumbukeni Wahindi wapo bilion i1.2 inashika #2 kwa idadi ya watu duniani nyuma ya China)
Wahindi Milioni 39 ni wavuta bangi
.......
Idadi ya wavuta bhangi india sawa na idadi ya wabongo
 
Duuh!
Na wanasema ukisafiri kwa ndege uwe makini sana na wanaijeria... Hawachelewi kuficha madawa ya kulevya kwenye mizigo yako ili upite kwenye kufanyiwa sachi... Ukitoka salama wanajifanya wamesahau kitu kwenye begi lako
Wanigeria na Waghana wanaongoza kwa utapeli Afrika
Waghana washawahi kuuliza hadi ubalozi wa Marekani kwa kutengeneza Visa feki
Bangi zinawapa mzuka
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom