Makapuku Forum

Makapuku Forum

6/Ghana
263ebb855404b6042542f4710bc17640.jpg
8d5150f030842b859650d5c20af57f4c.jpg

Waafrika pia tumo baada ya Wamisri sasa ni Waghana hawa jamaa wana akili za kitapeli km Wanigeria labda sababu ya bangi zao
22% ya Waghana ni wavuta bangi
Yaani watu milioni 5.8
........
 
[B[TOP TEN[/B]
e6baa256122f863c137f18e245e0414a.jpg

Umewahi kuvuta sigara kubwa?
Kwa hapa Bongo inaonekana ni nongwa na serikali imeamua kuifanya kuwa ni dawa ya kulevya ila kwa nchi zingine ganja sio ishu unaweza kujipulizia tu tena hadharani
Sasa nchi zenye wavuta bangi wengi zaidi duniani
Kigezo kilichotumika ni idadi ya wanaovuta na siyo asilimia....hivyo Jamaica hapo japo ni maarufu Hii inatokana na kuwa na wananchi wachache
Karibuni
.......
haya lete mambo hayo!
 
3/Nigeria
8b53f69c99d650434c3cd87be8c7abe2.jpg
ef42c3fae72c208dfa98204844b6b845.jpg

Nchi hii ya matapeli wa Afrika Magharibi bangi ni haramu lakini wanapuliza ni km kawa
14% ya Wanigeria ni wavuta bangi
Yaani watu Milioni 25
........
Duuh!
Na wanasema ukisafiri kwa ndege uwe makini sana na wanaijeria... Hawachelewi kuficha madawa ya kulevya kwenye mizigo yako ili upite kwenye kufanyiwa sachi... Ukitoka salama wanajifanya wamesahau kitu kwenye begi lako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom