Afande shedede za jioniWakuu habar ya Jioni
My love husna uko loan??
Ni dawa moja nzuri sana10/Canada/b]![]()
![]()
Kwenye baadhi ya majimbo kuvuta bangi ni ruksa unavuta unavyojisokia hadi upagawe mfano jimbo la British Columbia inatumika kwa ajili ya matibabu na viwanda
12% ya Wacanada ni wavuta bangi
Yaani watu milioni 4.5
.......
UbarikiweISAYA 43
1.Lakini ,sasa BWANA aliyekuhuluku,Ee Yakobo,yeye aliyekuumba .Ee Israel,asema hivi,USIOGOPE,maana nimekukomboa;nimekuita kwa jina lako,WEWE U WANGU...(SISI NI WA MUNGU)
HAPA TUNAITWA KWA MAJINA YETU
-FAKALAVA
-LEE EMPIRE
-OBE
-WERASSON
-SHUNIE
-SHULULU
-CYLKEI
-NYAGEI
-MUSSOLIN5
-SHIMBA YA BUYENZE
-BITOZ
-SHEDEDE
-TUMOSA
-MONDRAY
-QUIGLEY
-SAKAYO
-TRANCSEND
-VALENTINA
-BLESSEDHOPE
-BAILY5
-HUSNA MUBA
-IPOGOLO
-UKHUTHY
-QUEEN
-TETRA....
-ARCHIDUKE
-SNIPES
-MNDALI
-MSAKA-UCHAWI
-DINGIMTOTO
-MAKAPUKU WOTE
NA WENGINE SIJASHIKA MAJINA (MNISAMEHE)UJUMBE HUU UNATUHUSU ASUBUHI YA LEO
2.Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe,na katika mito ,haitakugharikisha,uendapo katika moto hutateketea,wala mwali wa moto hautakuunguza.
3.Maana mimi ni BWANA MUNGU wako ,MTAKATIFU wa Israel,MWOKOZI wako ,nimetoa Misri kuwa ukombozi wako ,nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.
4.Kwakuwa ulikuwa waTHAMANI MACHONI PANGU,na mwenye KUHESHIMIWA,nami NIMEKUPENDA,Kwasababu hiyo nitatoa WATU kwa ajili yako ,na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako
5.USIOGPE MAANA MIMI ni PAMOJA nawe,nitaleta wazao wako toka magharibi.
Wapendwa Mungu anatupenda sana ,na ametupa matumaini ya kuishi kwa furaha na hata TUSIOGOPE
TUSIOGOPE MAANA YUKO PAMOJA NASI.ANATUPENDA,ANATUTHAMINI,ANATUJALI
WOGA HULETA KUKATA TAMAA NA HAKIKA HATUPASWI.
KWALOLOTE TUNALOPITIA TUMTANGULIZE MUNGU MBELE YEYE NDIO MUANZILISHI NA MMALIZIAJI WA MAISHA YETU.
TUFANYE KAZI KWA BIDII,TUMHESHIMU,TUMPENDE NA HAKIKA TUTAYAONA MEMA MENGI NA AHADI ZAKE ZOTE ZITATIMIA
TUOMBE
Baba asante kutuamsha salama
Asnte kwa upendo wako usio na mwisho
Tunaomba ututoe roho ya woga na tukutumaini wewe siku zote za maisha yetu
Tufundishe kukupenda ,kukutii,kukuheshimu maana itatujenga kuwa na Upendo kuwa watii na kujiheshimu daima.
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote,na utusaidie tuwasamehe wale wote waliotukosea ili tusonge mbele.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wote wanaopitia changamoto yoyote..WASIOGOPE.
ASANTE BABA KWA KUWA UTATUPA KUSHINDA
Naomba katika jina la Yesu Amen
SIKU NJEMA...MSIOGOPE![]()
![]()
kwa ujumbe mzuri...!!Hii fursa ingekuwa Bongo sipati picha ingekuaje.9/Hispania![]()
![]()
Hawa akina Ander Herrera huko ni ruksa kulima bangi pia unaruhusiwa kuvuta bangi ukiwa nyumbani kwako,club maalumu na sehemu zingine
25% ya Wahispaniola wanavuta sigara kubwa
Yaani watu Milioni 4.8 ni wavuta/watumia bangi
.....
Nipo tayari mkuu[B[TOP TEN[/B]![]()
Umewahi kuvuta sigara kubwa?
Kwa hapa Bongo inaonekana ni nongwa na serikali imeamua kuifanya kuwa ni dawa ya kulevya ila kwa nchi zingine ganja sio ishu unaweza kujipulizia tu tena hadharani
Sasa nchi zenye wavuta bangi wengi zaidi duniani
Kigezo kilichotumika ni idadi ya wanaovuta na siyo asilimia....hivyo Jamaica hapo japo ni maarufu Hii inatokana na kuwa na wananchi wachache
Karibuni
.......
Salama tu mkuuWakuu habar ya Jioni
My love husna uko loan??
Ardhi ingekwishaHii fursa ingekuwa Bongo sipati picha ingekuaje.
Kwema mkuu niajeAfande shedede za jioni
Bender yao tu ina alama ya bangi nafikiri mama rais wao mvuta bangi10/Canada/b]![]()
![]()
Kwenye baadhi ya majimbo kuvuta bangi ni ruksa unavuta unavyojisokia hadi upagawe mfano jimbo la British Columbia inatumika kwa ajili ya matibabu na viwanda
12% ya Wacanada ni wavuta bangi
Yaani watu milioni 4.5
.......

Ndio mkuu! NimeachaSalama tu mkuu
Nasikia umeacha kazi?
Siyo bendera orijinoBender yao tu ina alama ya bangi nafikiri mama rais wao mvuta bangi![]()
Sababu ya kuacha?Ndio mkuu! Nimeacha
Poa kabisa mkuuKwema mkuu niaje
Wanaiheshimu sana huko7/Ufaransa![]()
![]()
Ukikutwa unavuta bangi hadharani jijini Paris unakamatwa na kutupwa jela mwaka mmoja ukajifunze kutofautiasha kati ya sigara ndogo na kubwa
8.6% ya Wafaransa ni watumia bangi
Yaani watu milioni 5.6
.........
Shemeji yetu husna mubaSababu ya kuacha?