shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
NdioHapo sijampata mkuu Shululu Tembo ndio wamesense hivyo?
NdioHapo sijampata mkuu Shululu Tembo ndio wamesense hivyo?
Yule ni mwanao, hata kuaga hakukuagaShunie where are you?miss you kwakweli.![]()
![]()
![]()
![]()
Tukutane jioni/usiku kwenye 10 kubwa
Mwisho
......

Poa hbr ya kaziPouwa ! Mambo shem?
Poa hbr ya uzimaMajukumu tunapambana nayo tu, vip pande hizo
Wewe si vale kwani?
No mm ni ubavu wake..Wewe si vale kwani?
Nzuri my swi, leo dinner twende kiwanja ganiPoa hbr ya uzima
Mambo mrembo uko poa...?Poa hbr ya kazi
EeeeehNo mm ni ubavu wake..
Obhebhe nyanda ndoho masla gete..Eeeeeh
Sorry mkuu..
Mimi niliangalia avatar tuu
Umenitukana mkuu?Obhebhe nyanda ndoho masla gete..
Kwahiyo jina hukuona
Hapana broUmenitukana mkuu?
Sawa brooh!Hapana bro
Naanzeje kukutukana brother wangu
I can't do it to you.
Thanks too buddySawa brooh!
Fresh mkuu
Nipo wapendwa. Mikutano tu tangu asubuhi mpaka jioni. Tunamaliza kesho na nitakuwa nanyi hapa 24/7. Bila "kugombana" na Shedede na mkewe yaani siku haiendi kabisa!
aisee