Hao makauzu ni akina nani? Ningekuwa wewe nisingekimbilia kupachika watu hizi label - makauzu, mbumbumbu, wajinga...There is always a story behind the veilMakauzu kichizi ila Kundi la Taleban linawasumbua![]()
Pia Afghanistan ipo kwenyec10 bora ya nchi maskini
.......



Gazeti liwasaidie nini? Quran inajitosheleza na hawahitaji gazeti ili kuendesha maisha yao. Wanalima poppy na wanavuta mkwanja wa kutosha hawahitaji gazeti wala nini. Na ukiwavamia hata uwe na silaha kali namna gani wanakunyosha tu.Kuswali si wanakariri tu na kuimba kaswida ila wape walau gazeti wasome hawawezi
![]()
![]()
![]()
......
Kwema mkuu. Shunie hajaonekana leo. Umemficha wapi? Is she OK?kwema humu ndani?
Sikuwa nimewaonea nongwa, ila majanga na misukosuko mingi, lakini wanaweza kuthubutuYeah. Ni wazuri sana katika uwanja huo kwa sababu hawana njia nyingine ya kujipatia umeme.
***Kwa nini inakuwa nongwa Waafrika tukiomba kusaidiana sisi kwa sisi? Ni lazima wataalamu wawe wazungu au Wachina? Waafrika sisi yaani ni shida tupu aisee!
ZiwaniMvuvi wa kambale baharini
All the time God is good
Majukumu tunapambana nayo tu, vip pande hizoPoa mekumic pia,kutingwa kwingi nakosa hata ka muda kuchunguli hku ndan,majukumu vp
Kofia, kanga, T-shirt na skafu vijijini hata mijini zipo nyingi tu, unapewa na pesa33% ya Watanzania ni mambumbumbu pure
Idadi yao kubwa wanapatikana huko vijijini
Hawa ndio CCM mbele kwa mbele....
![]()
![]()
![]()
........
Poa za kwako mkuuNaaje Engineer
Kwema mkuu, uko poakwema humu ndani?
It's a signature broAren't you overusing this phrase? I know it is an irrefutable fact that God is good all the time (assuming that someone is not an atheist and ignoring the philosophical + logical conundrums), copying somebody's unrelated post only to say "All the time God is good" is kind of weird and overreaching!
Ni kwema Katibu mkuukwema humu ndani?
Nawe piaTukutane kesho
Muwe na usiku mwema
I doubt it! Do you type it manually in every post?It's a signature bro