Hakika mkuu nakuunga mkono kwa 100%.
Mafisango ni mmoja kati ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza VPL kando ya Emmanuel Arnold Okwi, Kipre Herman Tchetche na Haruna Hakizimana Fadhili Niyonzima.
Kikosi kile cha Simba hakika kilisheheni vipaji murua kama Juma Kaseja, Haruna Moshi Shaaban Mawela Boban, Okwi, Sunzu, Juma Said Nyosso na wengineo.
R.I.P Mutesa Mafisango.