6.Mlee mtoto katika njia impasayo,naye hataiacha ,hata atakapokuwa mzee.
Hakika ukichukua hatua za makusudi za kufundisha watoto,hutajuta..muelimishe,mfundishe kazi,unapofanya kazi naye ashiriki ,atafahamu wajibu wake,hatakuwa anafanya hivyo vitu kwasababu labda ya miundombinu ,uwezo au kuiga lakini mazingira yakibana hatalala njaa,ataokota kuni,atapika,atasaidia hata wahitaji..tumuombe Mungu kuwasaidia watoto,wadogo zetu ili wawe watu wazima responsible
4/Unidentified Indian Girl
Ni msichana aliyefichwa utambulisho wake huko India
Alifariki wakati alijifungua pamoja na mwanawe
Ilikuwa mwaka 1933
Alikuwa na umri wa miaka 8
......
1Lina Medina
Ni binti wa Kiperu aliyebahatika kupata mtoto mwaka 1939
Alikuwa na umri wa miaka 5 na miezi 7.
.
.
.
Naona leo kumepoa sana
Tukutane kesho
..........