Aisee, sijui kwanini nakuwa wamwisho kufahamu mambo yanayoendelea humu.
Ilianza ya
Shunie kuanzishiwa uzi (sorry, jukwaa limenitoka). Leo tena nimeona
shedede na
husna muba wameanzisha uzi.
Duh, huwa nasikia tu, oh tukutane kule, wala sijui ni wapi kumbe kuna kuhamisha magoli ya huku na kuyapeleka kwingine.