BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Asante sana kwa historia mkuu ubarikiw kazi yako ni njemaWakuu tukutane usiku kwenye 10 kubwa ambayo itachelewa kuwajia kutokana na uwepo wa mechi ya AFCON U--17 kati ya Mali v Tanzania itakayoaanza saa 17:30 na kuoneshwa LIVE kupitia ZBC2
Niwatakie siku njema
..........
muwe na siku njema...!! na wiki njema yenye baraka teleView attachment 509498
Goodnight sir,have a colourfull night,guardian angels be with you tonight,be covered by the Blood of Jesus ,Be Blessed
kwa kuwa umeamua mwenyewe kwa akili zako bila kushurutishwa na shimba wa buyenzee nooo na mtu yeyote ..hutopata kiinua mgongo wala penshenii
Ahsante kwa Neno la uzimaKunakucha. Tumshukuru Muumba wetu. Siku ya leo basi Muumba na Akatuwezeshe kutenda yaliyo mema machoni pake. Na zaidi ya yote tukaweze kuwasaidia wenzetu wenye shida ili kupitia kwetu wakaweze kuuonja upendo wa Muumba wao. Love you guys. I will be off the internet for at least 8 hrs.Tutaonana jioni Mungu Akipenda. Muwe na siku njema!
Na iwe nawe piaAmani ya Bwana Yesu iwe kwenu
Morning mukongo
Iwe nawe pia,ubarikiweAmani ya Bwana Yesu iwe kwenu
Merci PapaaMpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa
Mtoto wa Mao (Lee) nawatakieni wote jumatatu njema
Amen MamaMITHALI 18
10.Jina la BWANA ni NGOME IMARA mwenye haki huikimbilia akawa SALAMA.
Nenolikawe faraja yako siku ya jumatatu ya leo na wiki nzima BWANA MUNGU awe ngome yako IMARA katika jina la YESU LIPITALO MAJINA YOTE AMEN
TUOMBE
Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu wetu kwa ulinzi wake usiku kucha,umetukinga na mengi Baba asante,tunaomba ulinzi wako katika familia zetu na baraka zako katika kazi za mikono yetu,Tunawaombea uponyaji wagonjwa hasa ndugu yetu SHIMBA YA BUYENZE anayesumbuka na jino,wafiwa,yatima na wajane wasipungukiwe,wasafiri nchi kavu,majini,angani akiwemo SHIMBA WA BUYENZE wafike salama damu ya Yesu iwafunike,Tunawaombea watumishi wa Mungu watumike sawasawa na mapenzi yako,kutana na hitaji la kila mmoja wetu Baba maana ulisema Ombeni nanyi mtapewa Mathayo 7:7,Bariki Makapuku wote na tuwe mfano mzuri kwa wengine na watu wazidi kukujua wewe Mfalme wa Amani.Tubariki tuingiapo na tutokapo
Tunaomba yote katika jina la Yesu .
Amen
MBARIKIWE SIKU NJEMA
Sara - SalaAhsante kwa Sara mzuri
Amen karibuAmen Mama
Upo Mond?Habari zenu ndugu zangu