Makapuku Forum

Amen ubarikiwe
 
Af wewe!!! Acha mazinguzi
Yaani duniani kuna watu wa aina nyingi sana, na ndiyo maana tunaamini kwamba kuna Mungu. Kama roho za binadamu zingekuwa zinashikiliwa na binadamu wenzao, bila shaka wengine wangeshakuwa marehemu kitambo sana. Sasa huyu naye si Mungu anamvumilia binadamu wenzake tungeweza kweli?

Shunie hata mimi nimeshangaa tu kwamba huyu anajua kweli taratibu za Jumapili ya matawi ama ni nini hasa kilichokuwa kwenye akili yake. Ndiyo maana wengine huishia kuuliza "kichwani una ubongo ama matope".
 
Ahsante kwa Sara mzuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…