Amen mama mchungaji[emoji524] ZABURI 121
1.Nitayainua macho yangu niitazame milima,Msaada wangu utatoka wapi?
2.Msaada wangu u katika BWANA,Aliyezifanya mbingu na nchi.
3.Asiuache mguu wako usogezwe,Asisisinzie akulindaye.
4.Naam,hatasinzia wala hatalala usingizi.Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
5.BWANA ndiye mlinzi wako;BWANA ni uvuli mkono wako wa kuume.
6.Jua halitakupiga mchana,Wala mwezi wakati wa usiku.
7.BWANA atakulinda na mabaya yote ,Atakulinda nafsi yako.
8.BWANA atakulinda utokapo na uingiapo,Tangu sasa na hata milele.
TUOMBE
Mwenyezi Mungu
Asante kwa ajili ya leo
Tunaomba uzidi kuwa nasi
Tutakase makosa yetu
Kutana na haja za mioyo yetu
Tukumbatie kama kuku akumbatiavyo vifaranga
Malaika walinzi waweke vituo katika nyumba na vitanda vyetu ,watuzunguke
Wakeshe pamoja nasi
Naenda kinyume na nguvu zote za giza
Damu ya Yesu itufunike
Asante maana utatenda zaidi ya tunavyoomba
Katika jina la Yesu Kristo
Tunaomba na kuamini
Amen
USIKU MWEMA WAPENDWA[emoji7] [emoji7]
Thijambo kaka mbayaMarhabaa, hujambo mtoto mzuri???
Ubarikiwe kakaWakuu niwatakie usiku mwema
Mungu awape wepesi wa mahitaji yenu
KIJANA UKIWA UNAKAA NA KULAUMU JUA UMAPOTEZA WAKATI WAKO
KIJANA WAPASWA KUWA MBUNIFU NA MWENYE KUFANYIA KAZI NDOTO ZAKO
Nawe piaJamaniiii
Muwe na usiku mwema wote humu...
Nawapenda..
Tutakutana tena T akirudi...
Mdaaa wote ulikuwa wapi???nipo hapa
Ulale salama Obe Mungu akubarikiUsiku mwema Makapuku
Nawe pia mkuu ShululuUsiku mwema makapuku wote
Mfunikwe na damu ya yesu
Safari hii niliogopa hali ya hewa. Tungamalenga mvua hazikuwa nzuri. Kilolo pia.Mkuu hujalima hapo uko jirani na pawaga wanalima mahindi ya kutosha
I Love Tungamalenga,ni mahali pazuri sana kwa kilimo na utalii.Safari hii niliogopa hali ya hewa. Tungamalenga mvua hazikuwa nzuri. Kilolo pia.
nilikuwepoo sipoooMdaaa wote ulikuwa wapi???
Nimekumiss
kwa kuwa umeamua mwenyewe kwa akili zako bila kushurutishwa na shimba wa buyenzee nooo na mtu yeyote ..hutopata kiinua mgongo wala pensheniikaribu sana mkuu
pia hii ni barua yangu
YAH: KUACHA KAZI
Kchwa cha habari taja hapo juu nimeamua kwa akili yangu mwenyewe kuacha kazi kwasababu zifwatazo
umli
-kama unavyojua boss umli wangu umekwenda kwakweli miezi 2 mizima nakulindia mke kwakweli boss nimechoka
mke
-na ndio kilichofanya nikuandikie barua hii boss nimeamua kuoa boss nimeona umli unaenda ukizingatia sina hata mtoto mmoja boss ......the end
wako mtiifu katika kazi
Wakati mwingine nanyi matajiri mnapotaka kuajiri hata kama ni walinzi mfanye background check jamani. Hii itawaepusha na vioja kama hivi. Seriously, mlinzi wako huyo alikuwa kioja aisee. Na huyu ndiye ulimkabidhi uhai wa mkeo, na wanao? Una bahati sana!kwa kuwa umeamua mwenyewe kwa akili zako bila kushurutishwa na shimba wa buyenzee nooo na mtu yeyote ..hutopata kiinua mgongo wala penshenii
ahahahaaaaa sema alikubana kila angle...Wakati mwingine nanyi matajiri mnapotaka kuajiri hata kama ni walinzi mfanye background check jamani. Hii itawaepusha na vioja kama hivi. Seriously, mlinzi wako huyo alikuwa kioja aisee. Na huyu ndiye ulimkabidhi uhai wa mkeo, na wanao? Una bahati sana!
Aaaa wapi? Mlinzi mwenyewe alikuwa anapotea mpaka hata wiki haonekani lindoni. Sema tu nilihamishia "mashambulizi" Kigali na Uhabeshi. Hata sasa niko safarini kuelekea huko KIKAZI.ahahahaaaaa sema alikubana kila angle...
goodmorning lakini