Makapuku Forum

Makapuku Forum

itabidi niongee na msukuma anitafutie mashamba nilime siunajua tena kilimo ndo uti wa mgongo wa taifa letu

naamini msukuma atanisaidia kupata mashamba ...
Nina mashamba makubwa huku Koromije. Njoo tu nitakupa bure tena na sytem ya umwagiliaji tayari imefungwa. Ushindwe mwenyewe. Unataka ekari ngapi?
 
nimerudiiiiii
karibu sana mkuu

pia hii ni barua yangu

YAH: KUACHA KAZI
Kchwa cha habari taja hapo juu nimeamua kwa akili yangu mwenyewe kuacha kazi kwasababu zifwatazo
umli
-kama unavyojua boss umli wangu umekwenda kwakweli miezi 2 mizima nakulindia mke kwakweli boss nimechoka

mke
-na ndio kilichofanya nikuandikie barua hii boss nimeamua kuoa boss nimeona umli unaenda ukizingatia sina hata mtoto mmoja boss ......the end

wako mtiifu katika kazi
 
Aisee, umejilipua kabisa
 
Barua ya hovyo kabisa hii kuwahi kuandikwa. Hivi siku hizi darasa la 4 huko primary school hawafundishi uandishi wa barua za kikazi? Umli my foot!
 
karibu sana mkuu

pia hii ni barua yangu

YAH: KUACHA KAZI
Kchwa cha habari taja hapo juu nimeamua kwa akili yangu mwenyewe kuacha kazi kwasababu zifwatazo
umli
-kama unavyojua boss umli wangu umekwenda kwakweli miezi 2 mizima nakulindia mke kwakweli boss nimechoka

mke
-na ndio kilichofanya nikuandikie barua hii boss nimeamua kuoa boss nimeona umli unaenda ukizingatia sina hata mtoto mmoja boss ......the end

wako mtiifu katika kazi
 
karibu sana mkuu

pia hii ni barua yangu

YAH: KUACHA KAZI
Kchwa cha habari taja hapo juu nimeamua kwa akili yangu mwenyewe kuacha kazi kwasababu zifwatazo
umli
-kama unavyojua boss umli wangu umekwenda kwakweli miezi 2 mizima nakulindia mke kwakweli boss nimechoka

mke
-na ndio kilichofanya nikuandikie barua hii boss nimeamua kuoa boss nimeona umli unaenda ukizingatia sina hata mtoto mmoja boss ......the end

wako mtiifu katika kazi
Ila hujakabidhi vifaa vya kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom