Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Huku leo sipaelewiumeanza mfyuuu
Huku leo sipaelewiumeanza mfyuuu
PouwaaSakayo habr yako
Nimeshangaa na mimiMm tena niliyekuweka nimekua mchawi
hahaha usichoelewa nini sikuelewi ujueHuku leo sipaelewi
hahahha ndio binadamu hao wakipata tujue tabia yakoNimeshangaa na mimi
![]()
Never stop learning
The End
...........

Yaanihahaha usichoelewa nini sikuelewi ujue
namtafuta husna wangu wapi umemuonaNiambie shemela
Shedede anakuja na kutoka, sasa hivi kaja na shemeji yetu kwa wakati mmojaMambo gani tena shemela
hahaha achana na avatar soma majina tuYaani
Sijui Lee ni yupi wala Shunie
Sijui Shedede ni yupi wala Husna
What happen
Pole sna ndio hali ya sasaMakapuku wenzangu. Bei ya chakula inaniua.
Mahindi (dona, sembe) iko juu. Mchele balaa.
Nataka nichanganye mahindi debe na ngano kg 5 nissge unga.
Serikali haikuleta njaa, lakini ufariji tu.
Na 9932 hawana mshahara.
Shedede anakuja na kutoka, sasa hivi kaja na shemeji yetu kwa wakati mmoja



zake kusalimia tu na kusepaPozi la waimba kwaya

salute afande mimi saivi sio afande na boss amesema atajilinda mwenyeweAfande lete ripot ya lindo
Na husnaHahahha kwa raha zake
Sawa mkuu nimefurahi kukuona pande hiziPouwaa
Kwani humuoni mbona yuponamtafuta husna wangu wapi umemuona
husna i love nitaweka uzi chit-chat bcoz i love youShedede I love you but sitaweka Uzi chitchat kwasababu ya watu km shunie