Makapuku Forum

Makapuku Forum

Makapuku wenzangu. Bei ya chakula inaniua.
Mahindi (dona, sembe) iko juu. Mchele balaa.
Nataka nichanganye mahindi debe na ngano kg 5 nissge unga.
Serikali haikuleta njaa, lakini ufariji tu.
Na 9932 hawana mshahara.
Mkuu hujalima hapo uko jirani na pawaga wanalima mahindi ya kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom