Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mie niko home mume wangu...Hahahaaa...
Home bhana...kwani hapa hupajuo jamani
Em Niambie uko wapi tuu jamani
Mie niko home mume wangu...Hahahaaa...
Home bhana...kwani hapa hupajuo jamani
Ataniambia tu, anataka nimpeleke kwa T,tukiwa njiani ataniambia tuhahahha hakuambii
mambo ya simba yanahusiana nini kwenye unywajiKumbe wewe sio simba![]()
![]()
Hahahahiko ndio ninachokunywa rangi ya simba subilini dompo nikinywa
Aiseee ndio mana nakiogopa siwezi kunywa peke anguInaleta hamu ya kutoa masauti...
Hahaaaa! Unaomba chorus na verse hapo hapo![]()
Sema uko wapi mume wangu jamaniShunie unanitaka nini?
Unataka kulala mapema leo?
hahaah usinitishe tutumie pic sisiIla shunie basi tuu...
Sitaki utupe simu yako...
Hutaki kuniambiaNini mbaya tena jamani
MhLee ndio anaelewa hii lugha tuu
Eka sirEka mae..
hahaha hayawezi nishinda tuma picYatakushinda ujue...
HeeeHawezi kununa, amini hivyo
Wa afyaMzima mpitaji
atume picha ujue asitutanieMie niko home mume wangu...
Em Niambie uko wapi tuu jamani
Ya casino ina nafuuKilimo ni kamari mkuu
ahhahahhahhAtaniambia tu, anataka nimpeleke kwa T,tukiwa njiani ataniambia tu
Aiseeunataka kunifanya nini mpk nilale mapema tuma pic ya full chumba chote
Shunie ni wa maji ya kunde (not black not white)Najua, ila nataka aniambie alivyo shunie
shemela unanitaka nini lakini wewe umbo langu la nini ili ulifanye nini

AsanteNitakupeleka tu