Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shunie ni wa maji ya kunde (not black not white)

Shunie ana kimo cha wastani , kama futi 5 tuu hivi..

Shunie amejazia kidogo tuu..mwili wa wastani..

Shunie ana uso mpana kidogo na mashavu kidogo..

Shunie ana haiba tofauti na mnavyomuona hapa..


Kama uwongo shunie bishaaaaa kwa kuweka picha..


Cc: lee na sakayo
Umeuaaaa

Nakupenda sana T wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom