Makapuku Forum

Makapuku Forum

Maumivu ya kawaida tu mtumishi. Ndiyo nimemaliza kuongea na mama kumpa Happy birthday. Ni mzee sana (mi ni last born wake) na afya yake inayumba. Alinisomesha single handedly na namshukuru Mungu Angalau amemuweka hai mpaka sasa ili japo aonje faida yake kunisimamia nisome katika shida na raha.

Nimeona kule ukimkumbuka mama pia. Japo ametangulia lakini anaishi kupitia kwako. Ni wazi alikulea vyema na tumaini lipo kwamba siku moja mtaweza kuonana tena. Happy Mother's Day mtumishi mwema!
AMEN AMEN NAMSHUKURU MUNGU KWA YOTE,NAFURAHI KUSIKIA UNAENDELEA VIZURI SIFA ,SHUKURANI ,UTUKUFU NA HESHIMA NI KWAKE BABA ALIYE JUU,NIMEFURAHI UMEONGEA NA MAMA UMEFNYA JAMBO JEMA LEO NAAMINI AMEFURAHI MNO NAMTAKIA BARAKA ZA MUNGU NA NA AMANI TELE..NAFURAHI KUWEPO HAPA MUDA HUU TENA,NAENDELEA KUKUOMBEA UPONE MWILI NA ROHO AMEN
 
abad5a88513aa36de859a6a04d5c94af.jpg
I can't believe!!!
 
wakuu natanguliza salaam... wakubwa na wadogo heshima kwenu viongozii

nawashukuru sana familia hii pendwa kwa love ya kutosha mnenifikisha hapa nilipo ..i thanks all

japo ubize unakuwa mwingi ila tukibahatisha network kama hivi cha kwanza ni kujua familia inaendaje ..

love you all ...japo nimeskip pages
Ubarikiwe karibu miss you Lee
 
AMEN AMEN NAMSHUKURU MUNGU KWA YOTE,NAFURAHI KUSIKIA UNAENDELEA VIZURI SIFA ,SHUKURANI ,UTUKUFU NA HESHIMA NI KWAKE BABA ALIYE JUU,NIMEFURAHI UMEONGEA NA MAMA UMEFNYA JAMBO JEMA LEO NAAMINI AMEFURAHI MNO NAMTAKIA BARAKA ZA MUNGU NA NA AMANI TELE..NAFURAHI KUWEPO HAPA MUDA HUU TENA,NAENDELEA KUKUOMBEA UPONE MWILI NA ROHO AMEN
Mama mchungaji
Nakusalimia, Nilikumiss Jamaniiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom