Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
hiko ndio ninachokunywa rangi ya simba subilini dompo nikinywaTafuta ya rangi ya simba bhana
hiko ndio ninachokunywa rangi ya simba subilini dompo nikinywaTafuta ya rangi ya simba bhana
Shunie unanitaka nini?labda moja umeificha chini
Hilo pori lina kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] porini ndio habari ya mjini
hahahha hakuambiiSubiri kwanza, nipo na sakayo
Eka mae..Aliko T wangu
Hawezi kununa, amini hivyoSisemi
Unataka anune au
unataka kunifanya nini mpk nilale mapema tuma pic ya full chumba choteShunie unanitaka nini?
Unataka kulala mapema leo?
Kumbe wewe sio simba [emoji3] [emoji3]kwahiyo tusinywe kisa rangi ya yanga
Inaleta hamu ya kutoa masauti...[emoji23][emoji23][emoji23]Me naskia inaleta hamu aliniambia lee nikinywa niwe naye
Nitakupeleka tuUmeonaee
Anipeleke tuu jamani
Nini mbaya tena jamaniAisee duh
Ila shunie basi tuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakutania no ya T naipata wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo pori lina kazi
Hahahana mapassword yale naibaje
Mwambie aiseeTafuta ya rangi ya simba bhana
Lee ndio anaelewa hii lugha tuuKasema yupo morocco
Mucho loveeeeeeeee[emoji182][emoji182][emoji182]Hahaha yeah
Sakayo wa T
Kilimo ni kamari mkuuwakulima/wafanyabiashara wa matikiti mwezi huu wanakula hasara![]()
Hili lote 500 yaani hata 300/ wanakuuzia wakati kawaida huuzwa hadi buku mbili
.......
Yatakushinda ujue...hahahhh tunataka pic full ya chumba asitutanie
shemela unanitaka nini lakini wewe umbo langu la nini ili ulifanye niniHawezi kununa, amini hivyo