Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
sio uchochezi atume tu pichaAisee
Huo ni uchochezi sasa
HatakiMwambie aisee
Kazi ipo leo, T ilikuwaje ukapiga picha hivyo vinywajiMie niko home mume wangu...
Em Niambie uko wapi tuu jamani
Maji ya kunde sidhani hivi maji ya kunde ndio yupojeShunie ni wa maji ya kunde (not black not white)
Shunie ana kimo cha wastani , kama futi 5 tuu hivi..
Shunie amejazia kidogo tuu..mwili wa wastani..
Shunie ana uso mpana kidogo na mashavu kidogo..
Shunie ana haiba tofauti na mnavyomuona hapa..
Kama uwongo shunie bishaaaaa kwa kuweka picha..
Cc: lee na sakayo
Tuma ya kwako na wewe!unataka kunifanya nini mpk nilale mapema tuma pic ya full chumba chote
Huku kwema mkuuSafi.. kwema??
Kazi ipo leo, T ilikuwaje ukapiga picha hivyo vinywaji



kujidai amuonyeshe babyWewe sio simba wenye misimamomambo ya simba yanahusiana nini kwenye unywaji
Me nishatuma najinywea unataka niniTuma ya kwako na wewe!
Nitalianzisha na lee hayupo ..
Utalia bureee
Tuliahahaah usinitishe tutumie pic sisi
Niko homeee bhanaaaa....Mie niko home mume wangu...
Em Niambie uko wapi tuu jamani
We nipeleke porini kwanzaHutaki kuniambia
Oooh arsenal tena kwenye maumivuNjoo Arsenal hutojuta
hapa hapaNiko homeee bhanaaaa....
Picha nitaku-inbox bhana
Mmmmhatume picha ujue asitutanie
First time leo nimepost picha ....Kazi ipo leo, T ilikuwaje ukapiga picha hivyo vinywaji
Nimekupata vizuriShunie ni wa maji ya kunde (not black not white)
Shunie ana kimo cha wastani , kama futi 5 tuu hivi..
Shunie amejazia kidogo tuu..mwili wa wastani..
Shunie ana uso mpana kidogo na mashavu kidogo..
Shunie ana haiba tofauti na mnavyomuona hapa..
Kama uwongo shunie bishaaaaa kwa kuweka picha..
Cc: lee na sakayo