Makapuku Forum

1898 - Kamuzu Banda anazaliwa.

Rais wa kwanza wa Malawi.
Yeye na Nyerere hawakuelewana kabisa kwa sababu alikuwa rafiki mkubwa wa nchi za kibepari. Alikuwa na uwezo mkubwa wa kuzungumza Kiingereza bila accent na alipendwa sana na Malkia. Kwa ujumla Nyerere na genge lake la wajamaa - Lumumba, Obotte, Kaunda, Netto, Mugabe, Nkrumah na Samora walimwona kama kibaraka tu; na kampeni nyingi za kuteteresha nchi za Kiafrika zilikuwa zikipitia kwake via Makaburu. Alihusishwa pia na mauaji ya Samora na Netto.

Kulikuwa na wimbo wa mchakamchaka watoto wa shule na JKT walikuwa wakiimba kumkandia na kumwonyesha kuwa alikuwa kibaraka wa makaburu via USA & UK.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…