Makapuku Forum

Ubarikiwe Shunie asante kwa Nukuu
 
Mkuu makapuku kimejaa vichwa wala usishangae sema wanaJf wengi wana mtazamo hasi kuhusu hii thread ila huwa hatujali
Shukrani sana mkuu
.......
Ninachofurahia ni kuwa: Mkuu Mussolini anaweka kumbukumbu ya maneno, Bitoz anatupia picha. Yaani ni sawa na Assist ya Fabregas kwa Eden Hazard au Niyonzima kwa Msuva.
 
Haaaaahaaaa, Robinson alifungwa gori moja la kizembe sana kuwahi kutokea kwenye mpira
Alirudishiwa mpira akashindwa kuupiga ikawa bao
Rob Green naye alipigiwa kashuti dhaifu akadaka kijinga tena shuti la chinichini lililomlenga likawa bao
David Seaman naye alifungwa na Ronaldinho kwa faulo ya mbali pembeni ambayo ni aibu kwa kipa wa kariba yake
......
 
Hongera ila ujitahidi kupngeza nyama mfano kuzaliwa lini ..kafa lini n.k itapendeza zaidi
Shukrani mkuu
.....
 
Hata kwenye elimu kutokea
Kuna kipindi shule itakuwa na wanafunzi wazuri halafu llinakuja pepa la NECTA baya and vise versa

.....
 


Hakika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…