Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
mmh baba mchuchu leo au kesho nahisi atarudilee ako wapi? .....mbona swaga kama za Shezni!!!
mmh baba mchuchu leo au kesho nahisi atarudilee ako wapi? .....mbona swaga kama za Shezni!!!
Mbona wenyewe wanakataa kuwa uchumi haujayumbaKama Kawaida, uchumi umeyumba
Asante kwa nukuu ShemelaNUKUU YA LEO
Everything that we see is a shadow cast by that we do not see.
yakiwa na maana kila kitu tunachokiona ni kivuli cha muhusika asieonekana
hayo maneno yaliwahi tamkwa na Martin Luther King
![]()
muwe na siku njema mbarikiwe
T shemela wangu nakuwakilisha kwenye nukuu kama nakosea utanisamehe.
Hawawezi kukubaliMbona wenyewe wanakataa kuwa uchumi haujayumba
karibu tena shemelaAsante kwa nukuu Shemela
morning!Goodmorning peoples
habari ni poa tu.... sisi tupo poa zaidi poa, hope na wewe upo poa!Habariiiii wa mdugu hope mko
poa
Shukrani mkuu shululu kwa magazetiView attachment 508534Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa Shunie,
Nawatakieni jumamos njema na sabato njema