Makapuku Forum

HBD Toure Yaya
 
HBD Lukaku
 
Timu yao hasa ile ya akina Drogba imeingia katika timu bora ambazo hazikuwahi kutwaa taji kama ilivy0 kwa England ya 2002 mpaka 2010.

Uholanzi ya mwaka 2006 mpaka 2012.

Na sasa Ubelgiji ya 2014 -

Hawa walipewa nafasi kubwa ya pengine kubeba World Cup 2014 lakini wanafanya madudu tu
Ila Wisel akaondoka na tunzo i

Ila bado wana nafasi ya kurekebisha makosa Hawa nao wakipewa nafasi kubwa kuitikisa dunia World Cup 2010 ila wakaishia kucheza kung fu....si mnakumbuka alichofanya De Jong
Ila Van Persie akatuachia kumbukumbu ya bao bora kutokana na krosi ndefu ya Daley Blind kule Brazil 2014 ] Hawa hata kuwaelezea tu ni kichefuchefu walifanya madudu ya kufa mtu
Ikiwepo ujinga waliokuwa wakifanta makipa wao akina Green,Robinson na wajinga wenzie
Ila Hart kaka kipindi kibaya ambacho kimejaa maboya tu km akina John Stones
.
.
Samtaimu dunia haitendi hali
......
 
Haaaaahaaaa, Robinson alifungwa gori moja la kizembe sana kuwahi kutokea kwenye mpira
 
NUKUU YA LEO
Everything that we see is a shadow cast by that we do not see.
yakiwa na maana kila kitu tunachokiona ni kivuli cha muhusika asieonekana

hayo maneno yaliwahi tamkwa na Martin Luther King




muwe na siku njema mbarikiwe
T shemela wangu nakuwakilisha kwenye nukuu kama nakosea utanisamehe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…