Makapuku Forum

Huyo Vee Beiby ana mkwanja mrefu ...keshawahi kufanyiwa skin lightening huko kwa Malkia kwa USD 170,000
.
Corozan nafikiri bado anasoma digrii ya sheria (labda keshahitimu)
Nachojua ana Diploma ya sheria ila bado sijajua km keshafikia kuwa Wakili maana siyo kila mwanasheria ni wakili ila kila Wakili ni mwanasheria
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…