Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
kwahiyo wasiokua na misambwanda msukuma ww hupatani nao kabisa naonaSi unajua tena. Misambwanda. Ukibonge. Weupe and the boy from Koromije is completely finished kabisa kabisa!
kwahiyo wasiokua na misambwanda msukuma ww hupatani nao kabisa naonaSi unajua tena. Misambwanda. Ukibonge. Weupe and the boy from Koromije is completely finished kabisa kabisa!
Uko poa my swiMic u!
Napatana nao kama dada na ndugu wa kuheshimiana na kusaidiana katika shida na raha zetu hapa duniani.kwahiyo wasiokua na misambwanda msukuma ww hupatani nao kabisa naona
sawaNapatana nao kama dada na ndugu wa kuheshimiana na kusaidiana katika shida na raha zetu hapa duniani.
Mimi Kuanzia Kesho Nitaanza Kuwaletea vipengele viwili: Stupid Criminals na Leo Katika Katuni. Pendekezo zuri sana waungwana!
Hajaacha tuakii nikikuona kule mbavu sina unataka kwenda pm
AiseeMisambwanda leoo. Nafwazzz. Thanks Madenge. Muumbaji Alicheza pele katika kumuumba mwanamke. Salute!Huyu Vera inasemekana ndiye video vixen tajiri kuliko wote na kinachomsaidia ni kuwa kasoma. Hata mwenzake yule wakili (Corazon Kwamboka) naye kampuni yake ya nguo inafanya vizuri sana. Vixen wetu hawa akina Masogange yaani wapo wapo tu. Wakenya, kama kawaida yao, wamechangamka karibu katika kila sekta kuliko sisi...![]()
Nilikuwa nasubiri useme roll model wakoNampenda huyu dada
Mimi sina timu, yoyyote inayoshinda nashangilia tuMmh shemela mzee wa kinyerezi toka lini ukashangilia simba
Haaaaahaaaakwahiyo wasiokua na misambwanda msukuma ww hupatani nao kabisa naona
shemela kule gari ndio limewakaHajaacha tu

asee si unajua bado mgeni anataka kwenda pm sijui kupewa niniYuko njema sana 50/505/Peace Hyde]![]()
![]()
Huyu ni binti wa Kighana
Ni mwongoza vipindi vya luninga na matamasha katika nchi za Ghana na Uingereza
Ni binti kichwa aliyepata Shahada ya kwanza bila kusapua !!! Ana Degree in Psychology(Hons) kutoka Middlesex University huko kwa Malkia
Ametajwa karibu kwenye kila jarida linalozungumzia wanawake wenyewe mvuto barani Afrika
........
Haaaaahaaaa, uchungaji kwishineshemela kule gari ndio limewakaasee si unajua bado mgeni anataka kwenda pm sijui kupewa nini
Hiyo picha ya pili utakua umeichanganya huyo ni model wa kenya corazon5/Peace Hyde]![]()
![]()
Huyu ni binti wa Kighana
Ni mwongoza vipindi vya luninga na matamasha katika nchi za Ghana na Uingereza
Ni binti kichwa aliyepata Shahada ya kwanza bila kusapua !!! Ana Degree in Psychology(Hons) kutoka Middlesex University huko kwa Malkia
Ametajwa karibu kwenye kila jarida linalozungumzia wanawake wenyewe mvuto barani Afrika
........
Huwa nampenda sana Omotola yuko makini kwenye kazi yake9/Omotola Jalade![]()
![]()
Huyu pia ni mcheza filamu za Kinigeria huko Bollywood
Baadhi ya muvi alichocheza ni Ije,A Private Storm,Mortal Inheritance na Last Fight to Abuja
Ana umri wa miaka 39
......
ana maisha flani anaishi yaan kama sio star kuna kipindi nafatilia kipindi chake cha tv anavyoishi na familia yake ana mtto wake wa kiume ni producerNilikuwa nasubiri useme roll model wako
MuongooooooMimi sina timu, yoyyote inayoshinda nashangilia tu
flatscreen tunanyanyasika ujueHaaaaahaaaa