Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
Same to you dear.....covered by Jesus' blood
Ndio mtaa ilipo Posta mpya. Dsm. Benjamin Mkapa Nssf1996 - Nnamdi Azikiwe anafariki Dunia.
Ni Rais wa kwanza wa Nigeria.
Kwa heshina yake, kuna mtaa hapa Dar Es Salaam umepewa jina lake kama kumuenzi, mtaa wa Azikiwe.
Ngoja tuoneAtakuja tu
Binamu ana utani mbayaHaaaaahaaaa futuhi day
Wakuu usiku mwema naaga kwa neno lisemalo:
UKIWA KIJANA HAKIKISHA UNAFANYA KAZI KWA BIDII

Aseee...hawezi kulala muda huu, bado anaangalia game la Futuhi (Man U na Celta)
Binamu yake si alimletea tachi skrini saa pia alimletea kwaniWanasema baada ya binamu kukuletea saa ulipotea mpaka ukamsahau BH, ndio maana binamu anataka saa umpe husna ili usimsahau na yeye
naangalia ndio fellain kafunga kwahiyo ulitaka kunijazaKumbe unaangalia
...., umepewa maua,vipi nikuletee chungu uyapande?




binamu ujue unaongea kwa uchungu yaan unatoa ya moyoniBinamu yake si alimletea tachi skrini saa pia alimletea kwani
hapo sawa binamu basi usiniangushe mana naona akili haipo kabisa ipo kwa bhTachi ndo nililetewa, na ninajitahidi kweli kudownload mavitu kadha wa kadha. Saa nilinunua kwa hela yako, well yeye ndo alinipa hela kabla hajasafiri
Aisee...., umepewa maua,vipi nikuletee chungu uyapande?
Unaofanana na ukweliBinamu ana utani mbaya
Nilikuwa naangalia pressure yakonaangalia ndio fellain kafunga kwahiyo ulitaka kunijaza
hahhaha pressure inapanda pressure inashuka vipi umeme upoNilikuwa naangalia pressure yako