Makapuku Forum

Makapuku Forum

....najua wewe unanijua aunt yangu ila wengine wakiona natupia nyimbo za 80s wanadhani mimi ni Kitime kumbe kijana kabisa sema nina mambo ya kizee😀, kijana mzee.

Atakula good muziki hadi anenepe maana wengine maumbo ya mamiss world tunahisi tunadhulumu nafsi cc SHIMBA YA BUYENZE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usimtese basi binti wa watu mpende haswa kama shemela shululu anavyompenda tumosa au mukongo anavyompenda mama mchuchu au lee anavyompenda shunii
 
Afu sijui kwanini kila nikipiga ramli zangu naambiwa wewe ndo ulinizibia kwa BH, au nazipiga nimelewa? maana mganga wangu masharti yake niende na bia za kopo na mishikaki , eti tuwaite wazee.

Anyway, ngoja basi tukae kimkakati saa tumpe Husna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom