Makapuku Forum

Makapuku Forum

mm siwezi kukukana kabisa we ni binamu yetu mtoto ameshakubali nimemwambia atulie binamu yangu mzee wa bakurutu amlee huku anakula good music


....najua wewe unanijua aunt yangu ila wengine wakiona natupia nyimbo za 80s wanadhani mimi ni Kitime kumbe kijana kabisa sema nina mambo ya kizee😀, kijana mzee.

Atakula good muziki hadi anenepe maana wengine maumbo ya mamiss world tunahisi tunadhulumu nafsi cc SHIMBA YA BUYENZE
 
Afu sijui kwanini kila nikipiga ramli zangu naambiwa wewe ndo ulinizibia kwa BH, au nazipiga nimelewa? maana mganga wangu masharti yake niende na bia za kopo na mishikaki , eti tuwaite wazee.

Anyway, ngoja basi tukae kimkakati saa tumpe Husna
Wanasema baada ya binamu kukuletea saa ulipotea mpaka ukamsahau BH, ndio maana binamu anataka saa umpe husna ili usimsahau na yeye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom