Anachelewa sana kujakama namuona binamu yangu
Binamu obe nishakuchagulia sasa hivi ww ni shangazi yetu mm na leeNichagulie
hhhhaaaah kuna mda niliona likes zakeAnachelewa sana kuja
Ila akishajua atakuwa anawahi
Rock Slide. Ni hatari sana! Mungu Awasaidie majeruhi. Mother nature...
Mawe yanaanguka huko Lushoto eneo LA vugha road yamedondokea gari majeruhi wamekimbizwa hospital
lushoto kwetu Mungu asaidie
ikifika chini hiyo pikipiki ndio utajua kwanini beki 3 halipi kodi10/Motorcross
Haya ni maonyesho/mashindano au mbio pengine mchezo ya pikipiki kwenye barabara za vumbi au sehemu maalumu iliyotengenezwa mafuta/vilima
Sasa huu mchezo unaendesha pikipiki kwa spidi kubwa halafu ukifika kwenye kilima unarushwa juu pengine umbali wa futi 10 na hata 50 sasa hapo ukikosea mahesabu shauri yako
Pia mara nyingine pikipiki inapata hitilafu ya kiufundi
Ilitokea ajali watu huumia vibaya na hata kufa
...........
Inasikitisha sana aiseeGet well soon majeruhi
Kwendraaaaaaunanianza sasa, mambo ya kukimbilia polisi hakuna
Tuliza boli acha kiherehere kwenye mambo ya watu. Msambwanda unao?Subiria wenye msambwanda
Safiiiiibinamu obe mzee wa bakurutu ukujeee machungu ya mama mchuchu yameisha
Rest in peace Marc Vivien Foe5/Football
Hapa tunaongelea mpira wa miguu wa Kimarekani(American football) pamoja na wa kawaida
Hapa watu hugonfana na kutumia vibaya au kuchezea na rafu za makusudiHapa Eduardo Da Silva akichezea kwanja
Hapa Djibril Cisse akiwa kavunjika vibaya
Wengine hudondoka uwanjani na kufariki kama Marc Vivien For mmoja kati kiungo box to box bora zaidi kuwahi kutokea ambaye hakuwa na mbwembwe km za Pogba yaani nywele fupi kipilipili tu
........
Wamepishana kama dakika tatu kuzaliwa inamaana usiku wa saa tano na dk 59,ikifika saa sita usiku ni siku nyingine na tarehe nyingine mpya inawezekana,mpango wa MunguMh hiyo imewezkanaje?!
Msukuma kumbe upande msambaa shikamooRock Slide. Ni hatari sana! Mungu Awasaidie majeruhi. Mother nature...
Mimi nimespma na kukaa Dochi na Sinza kule muda mrefu tu na nilikuwa naenda kucheza mpira kule SEKOMU
Mawe yanaanguka huko Lushoto eneo LA vugha road yamedondokea gari majeruhi wamekimbizwa hospital
lushoto kwetu Mungu asaidie
Pole kwa waliokumbwa na hii kadhia Mungu aendlee kuwatetea
Mawe yanaanguka huko Lushoto eneo LA vugha road yamedondokea gari majeruhi wamekimbizwa hospital
lushoto kwetu Mungu asaidie
Kabisa usijaribu nyumbani8/Wrestling
Huu mchezo ukiwaangalia akina John Cena,Hulk Horgan ,Machoman n.k utauona kama maigizo tu
Kuna mieleka ya aina nyingi pia ya ridhaa...hapa pia wanakutana madume ya soka mwendo wa kupogana vipepsi na makabali tu
Wengi huvunjika mifupa..pia inapotokea mtu kurushwa nje ya ulingo ni hatari
Pia ulingo unapowekewa sentence
Don't try this at home!!!!
..........
Mke wa shululu huyo msambwanda unakuhusu niniTuliza boli acha kiherehere kwenye mambo ya watu. Msambwanda unao?
Msambaa? Mimi? Hata Tanga sijawahi fika. Nasikiaga tu mara waja leo waondoka leo na mambo kama hayo. Molla akijalia siku moja nitafika. Kutembelea mikoa yote ya Tanzania (na sehemu mashuhuri kihistoria), mabara yote na the 7 wonders of the World imo katika bucket list yangu...Msukuma kumbe upande msambaa shikamoo
Akuje tu achukue mwali wakekama namuona binamu yangu
Hapana alikua anampenda mama mchuchu halaf mama mchuchu limoyo limemdondokea baba mchuchukumbe alikuwa Wa mama mchuchu!!!