Makapuku Forum

Maywether from TMT
 
Namuona hapo Silva "The Spider" siku alipovunjika mguu hivi hivi kimchezo mchezo.

Ngumi ni hatari kusema kweli na ukiangalia vizuri hata mabondia wa zamani ambao wako hai hata kuongea kwao ni kwa shida. Thomas "The Hit Man" Hearns, Sugar Shane Mosley, Sugar Ray Leonard, George Foreman, Evander Hollyfield, Larry Holmes, Frank Bruno na wengineo ukisikia wanahojiwa yaani ni lazima usikilize lwa makini sana. Wana slurred speech ambayo ni dalili mojawapo ya dementia na magonjwa mengine ya ubongo kama Alzheimer na Parkinson's. Wanaoonekana kuwa sawa ni wale wajanja ambao hawakuwahi kupigwa sana kichwani - akina Mayweather, John "The Executioner" Hopkins na wengine wachache.
 
5/Football
Hapa tunaongelea mpira wa miguu wa Kimarekani(American football) pamoja na wa kawaida
Hapa watu hugonfana na kutumia vibaya au kuchezea na rafu za makusudi Hapa Eduardo Da Silva akichezea kwanja
Hapa Djibril Cisse akiwa kavunjika vibaya
Wengine hudondoka uwanjani na kufariki kama Marc Vivien For mmoja kati kiungo box to box bora zaidi kuwahi kutokea ambaye hakuwa na mbwembwe km za Pogba yaani nywele fupi kipilipili tu
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…