Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,791
Nani yupo macho muda huu?
Yaan nimesoma Leo coment zote kwanzia mwanzo nyie mmelala tuuWee mwenyewe uko offline seem unaota tu ndoto mda huu!
Asante kapuku karibu tenaNiliwamiss sana makapuku wenzangu na hongereni kwa kukimbiza mbaya namna hii
Kumekucha ndugu yangu...Habalj ya humu makapuku kumeshakucha
Shem asubuh njemaHahaha jimena, leo niko kivingine, usiniwazie mabaya...napenda bila sababu dadake
Ahahaha haya bwanaHaswaaaaa.......
Nilikua nafanya upembuzi yakinifu na usanifuSalama mkuu, naona umeadimika hataree
poa, mambo niaje mkuuGoodmorning to you all
Miss Chagga sio mashauzi ,Evelyn Salt anajiona sana ila Lara 1 anajisikia sanaKatika hao wanaojiita wakongwe kuna watu huwa siwapendi mf. Lara 1,Miss Chagga,Heavenly Salt na wengineo
[emoji445] Nyodo zetu wakongwe zimeanza kufutika
Makapuku sasa wanakubalika
Wametoa thread ya uhakika
Nguvu yao kubwa kwa hakika
Maskini nyota zetu zinazidi kufutika
Tulijifanya tuna mkono wa birika
Makapuku wao wana ushirika
Chini ndo tunazidi kutiririka[emoji445]
X 3
Naupenda huu wimbo umeimbwa na Ngedere Ungabu feat FaizaFix
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
..................
Fresh tu. Uko poa ?poa, mambo niaje mkuu
Nilimsahau na faiza foxy nae ana dharau nyingi sanaMiss Chagga sio mashauzi ,Evelyn Salt anajiona sana ila Lara 1 anajisikia sana
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
....................