Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Moja ya malengo ya uunzishwaji wa forum ya makapuku ni pamoja na kupeana michongo ya namna ya kuchomoka, sasa sijaona mdau yeyote aliyechomokea say kwenye kilimo akitupa madini ni namna gani tupige makaratee tutoke pia! Ni vizuri kila mwenye ujuzi wowote akatupia hapa ili ikitokea mchongo wowote tubebane, ama mnaonaje wana?
Nyodo zetu wakongwe zimeanza kufutika