Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,043
- 12,527
Ni powa, Arusha ipo katika hali yake tuliyoizoea ya baridi kidogo na joto kidogo ..Salama kabisa kaka.
Chuga vipi?
Ni powa, Arusha ipo katika hali yake tuliyoizoea ya baridi kidogo na joto kidogo ..Salama kabisa kaka.
Chuga vipi?
Poa brother, uwe na asubuhi njema.Ni powa, Arusha ipo katika hali yake tuliyoizoea ya baridi kidogo na joto kidogo ..
Niko sawa sana kaka, asante kwa kutukumbukaNiko fit ile mbaya asee...Wacha nitafute ndugu wengine hapa maana nikuja asubuhi nikakuta hii thread yetu imekuwa namba nne wakati kila siku inakuwaga pale juu kama Mod kai-sticky kumbe ni sababu ya comment za kila dk....Inabidi irudi kilelen tena....Wap jambilo mtumish umekimbia sana kisa ni Patience123 tu, Wap Jimena njoo huku dada angu na uje na sizzya007 basi, Bila shaka youngblood yupo lakin sijui yu wap Nahrene, Wapi Muke ya bouncer mamaa amaizing ukuje na huku mumy...Wap lizziebettie naona anamuacha tu mzee Th Name mwenyewe huku huogopi kuibiwa shemeji yangu..Wap EMMYGUY pembeni akiwa na aggyjay , wap ibra87 anasalimiwa na cute b, Wap sumbai, HOPECOMFORT....
Uwe na siku yenye baraka tele dada angu...Niko sawa sana kaka, asante kwa kutukumbuka
Kwa jana tulipoa sana humu ndani ngoja tuone Leo kama patachangamka. Fanya hivyo kuwatafuta tuone kama watakuja humu ndaniNiko fit ile mbaya asee...Wacha nitafute ndugu wengine hapa maana nikuja asubuhi nikakuta hii thread yetu imekuwa namba nne wakati kila siku inakuwaga pale juu kama Mod kai-sticky kumbe ni sababu ya comment za kila dk....Inabidi irudi kilelen tena....Wap jambilo mtumish umekimbia sana kisa ni Patience123 tu, Wap Jimena njoo huku dada angu na uje na sizzya007 basi, Bila shaka youngblood yupo lakin sijui yu wap Nahrene, Wapi Muke ya bouncer mamaa amaizing ukuje na huku mumy...Wap lizziebettie naona anamuacha tu mzee Th Name mwenyewe huku huogopi kuibiwa shemeji yangu..Wap EMMYGUY pembeni akiwa na aggyjay , wap ibra87 anasalimiwa na cute b, Wap sumbai, HOPECOMFORT....
Asante. Na kwako piaUwe na siku yenye baraka tele dada angu...
Mkuu mimi nipo kama sipo.Niko fit ile mbaya asee...Wacha nitafute ndugu wengine hapa maana nikuja asubuhi nikakuta hii thread yetu imekuwa namba nne wakati kila siku inakuwaga pale juu kama Mod kai-sticky kumbe ni sababu ya comment za kila dk....Inabidi irudi kilelen tena....Wap jambilo mtumish umekimbia sana kisa ni Patience123 tu, Wap Jimena njoo huku dada angu na uje na sizzya007 basi, Bila shaka youngblood yupo lakin sijui yu wap Nahrene, Wapi Muke ya bouncer mamaa amaizing ukuje na huku mumy...Wap lizziebettie naona anamuacha tu mzee Th Name mwenyewe huku huogopi kuibiwa shemeji yangu..Wap EMMYGUY pembeni akiwa na aggyjay , wap ibra87 anasalimiwa na cute b, Wap sumbai, HOPECOMFORT....
Nin mbaya tena kamanda?Mkuu mimi nipo kama sipo.
Mimi leo nipo hapa,jana nilikuwa na mishe nyingi.Kwa jana tulipoa sana humu ndani ngoja tuone Leo kama patachangamka. Fanya hivyo kuwatafuta tuone kama watakuja humu ndani
Hata sielewi elewi. Ila Leo mambo yatakuwa poa humu
Nawe pia uwe na yenye heri na fanaka..Poa brother, uwe na asubuhi njema.
Wife haonekani mkuu.Nin mbaya tena kamanda?
Amen.Nawe pia uwe na yenye heri na fanaka..
Karibu sanaMimi leo nipo hapa,jana nilikuwa na mishe nyingi.
Hata mimi naamin katika hilo..Hata sielewi elewi. Ila Leo mambo yatakuwa poa humu
powa, mambo ni vipi?Salama mkuu, mambo vipi?
Huku ndo amsha popoHata mimi naamin katika hilo..
Nimetulia mkuu.Atakuja tu mkuu we cha msingi endelea kutulia hivyo hivyo usije leta balaa aliloleta mtumish jambilo huku