Makapuku Forum

Makapuku Forum

b923cc4e917582e4e3787db16e80e1e7.jpg
cdfa7043a8ba1baac524636c9c83c5c5.jpg
 
Nyodo zetu wakongwe zimeanza kufutika
Makapuku sasa wanakubalika
Wametoa thread ya uhakika
Nguvu yao kubwa kwa hakika
Maskini nyota zetu zinazidi kufutika
Tulijifanya tuna mkono wa birika
Makapuku wao wana ushirika
Chini ndo tunazidi kutiririka
X 3

Naupenda huu wimbo umeimbwa na Ngedere Ungabu feat FaizaFix

..................
 
Nimekuwa nikitafakari kuhusu Makapuku Forum Na huyu anayejiita mwanzilishi Mkuu Bitoz.
Bandiko hilo la Makapuku Forum limenifanya sasa nijihisi nipo Jamii Forum kutokana Na kupanda ghafla Kwa idadi ya Likes Na Trophy points.
Natanguliza shukurani kwa mwanzilishi lakini ni vema nieleze niliyotafakari.
Katika tafakari nimehisi huweza kuwa Bitoz alikuwa member mkongwe kuliko Faizafoxy humu JF ila akasahau password. Hii ikasababisha ajipatie ID nyingine Hali iliyosababisha kuanza upya kusaka umaarufu (maana JF ili uchukuliwe siriasi zinaangaliwa likes Na Trophy) Kwa kujiita kapuku Na kusaidia Makapuku wengineo ambao wanakuwa mtaji kwake wa kumpatia Trophy Na likes.

Hayo tuu Kwa sasa. Kabla hujapost kujibu hoja au kutoa mchango wako, LIKE kwanza.
 
Leo nimepitwa na mambo mengi ila naamini yote kheri......maisha yananifanya nikimbie coz nikitulia yananikimbiza mpaka nashindwa kushirikiana na makapuku wenzangu.....Niwatakie weekend njema, Sabato njema, popoz mkesha mwema, wanaolala mapema kama mimi usiku mwema....Jah bless
 
Leo uwe mlinzi
 
powa, muda mwema
 
Nimekuwa nikitafakari kuhusu Makapuku Forum Na huyu anayejiita mwanzilishi Mkuu Bitoz.
Bandiko hilo la Makapuku Forum limenifanya sasa nijihisi nipo Jamii Forum kutokana Na kupanda ghafla Kwa idadi ya Likes Na Trophy points.
Natanguliza shukurani kwa mwanzilishi lakini ni vema nieleze niliyotafakari.
Katika tafakari nimehisi huweza kuwa Bitoz alikuwa member mkongwe kuliko Faizafoxy humu JF ila akasahau password. Hii ikasababisha ajipatie ID nyingine Hali iliyosababisha kuanza upya kusaka umaarufu (maana JF ili uchukuliwe siriasi zinaangaliwa likes Na Trophy) Kwa kujiita kapuku Na kusaidia Makapuku wengineo ambao wanakuwa mtaji kwake wa kumpatia Trophy Na likes.

Hayo tuu Kwa sasa. Kabla hujapost kujibu hoja au kutoa mchango wako, LIKE kwanza.
Mzee wa pcm, hujamtendea haki faiza foxy amepanda cheo anaitwa Ngariba faiza foxy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom