Yasini mohamedi
Member
- Apr 22, 2016
- 28
- 13
SawaNikukutana nae siku nyingine huku Mabibo lazima nimpige search nione km ana hirizi
![]()
![]()
![]()
................
SawaNikukutana nae siku nyingine huku Mabibo lazima nimpige search nione km ana hirizi
![]()
![]()
![]()
................
Hehehehehe sasa kashasikia kuwa utamsachiNikukutana nae siku nyingine huku Mabibo lazima nimpige search nione km ana hirizi
![]()
![]()
![]()
................
yani ataificha kweli kweli hiyo hirizi yake ili usiione
Mpaka mtukula kisha nitaacha gari hapoUnadrive ?
.................
Poa utupie mapichapicha basiMpaka mtukula kisha nitaacha gari hapo
Tukipanga itakuwa sio nzuri, inapendeza ile inayokuja bila kupangwaBado najipange ntokeje, labda tukae kando mimi nawe tupange mkakati mahususu tukija hapa sebuleni tuamshe popo naona jukwaa lina sinzia
Poa utupie mapichapicha basi
Makapuku hatujawahi kuvuka border
..........

Sizzya kwani yuko wapiTukipanga itakuwa sio nzuri, inapendeza ile inayokuja bila kupangwa
Sizzya007 asubuhi ya leo alisema hayuko sawa, hivyo tunamsubiri apone haraka na kurejea hapaSizzya kwani yuko wapi
Labda wametoka out week end nayo ina mambo yakeKumbe leo ijumaa!!! Kwaiyo mmelala au mnajiandaa na night shift?!? Basi mlale salama
Mshana Si unapanda ungo? Leo unatumia gariii???? DaahMpaka mtukula kisha nitaacha gari hapo
Safi sana aiseeHabar za usiku kapuku ...
Safari njema Mzee.....Penda sana nyie naomba niwaageni kesho naelekea Juba Sudan kupitia Kahama Bk Kampala, tawamiss sana
Safi kabisa habari yako?Habar za usiku kapuku ...
Sizzya007 mtoto wake wa 4 anaumwa so yuko na matibabu, pia mkez wake wapili alifumzniwa walitegemea kusuluhishwa jioniSizzya007 asubuhi ya leo alisema hayuko sawa, hivyo tunamsubiri apone haraka na kurejea hapa
Sema hujavuka borderPoa utupie mapichapicha basi
Makapuku hatujawahi kuvuka border
..........
Hawasemi ungo wanaita gariMshana Si unapanda ungo? Leo unatumia gariii???? Daah
Miss you brother