Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Nyodo zetu wakongwe zimeanza kufutika
Makapuku sasa wanakubalika
Wametoa thread ya uhakika
Nguvu yao kubwa kwa hakika
Maskini nyota zetu zinazidi kufutika
Tulijifanya tuna mkono wa birika
Makapuku wao wana ushirika
Chini ndo tunazidi kutiririka![]()
X 3
Naupenda huu wimbo umeimbwa na Ngedere Ungabu feat FaizaFix
![]()
![]()
![]()
..................
