Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Usiku mwema mkuu wetu wa majeshiBusiku muwema ndugu zangu bado dakika 20 iko panda pipaa kuaajili ya kuenda kule KINSHASA kuenda kujichanganya na bamutu ya Congo katika shoo ya kofii olomide , jabo mpiana na madilu systemee ..mutabaki salama
Akina
Papaa bitozi
Papaa the name
Papaa sizzya
Mamaa jimena
Mamaa izzi Bettie
Bila kubasahau MAKAPUKU WOTEE nabapenda sana
IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI MAKAPUKU FORUM
ndg DEKITAMBI


