BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nawe pia barikiwaUsiku mwema
Nawe pia barikiwaUsiku mwema
Haya basi nimebwaga manyanga. Ye yote tu atafaa ila mtafutie kwanza Shedede. Ukimalizana naye basi ndo uanze kumhangaikia Msukuma wako mbishi...hahahahh
musukuma anataka kunipa kazi naanzaje kumuuliza mtu eti we mweupe ni kibonge
yeye amkubali tu kila kitu atajua mbele kwa mbele kwa atakavyokutana navyo huko
AmenHakuna kitu kinacholeta faraja na furaha kama kusaidia wahitaji hata kama huna kitu,kushare kidogo ulichonacho na wale ambao hawana kabisa imagine unaenda hospital kumtembelea ndugu yako amelazwa mnajikuta mko 20 mmezunguka kitanda ,lakini next bed kuna mtu kapata referal kuja muhimbili hana ndugu hebu sogea tumia muda nae,ongea nae mpe kidogo ulichonacho aaah huwezi amini utakuwa unatafuta safari a kutembelea watu wa aina hii na hutapungukiwa,nauli,cha kuwapa hata neno la kuwatia moyo .hata majumbani wapo wengi wanahitaji faraja ,kutiwa moyo,kusikilizwa pata muda wa kuwaona watu hawa wapo wengi sana Mungu atutie nguvu
Nehemia 8
10b....furaha ya BWANA ni nguvu zenu.
Haleuiya![]()
![]()
MATENDO YA MITUME 20
35.Katika mambo yote nimewaonyesha ya kuwa kwa kushika kazi hivi imewapasa kuwasaidia wanyonge,na kuyakumbuka maneno ya Bwana Yesu ,jinsi alivyosema mwenyewe. Ni heri kutoa kuliko kupokea
Ubarikiwe Mussolin5,kikwetu huwa tunaambiwa "UNYAMALAGE" KATIKA VIPINDI KAMA HIVI ,HILI NENO LIMEKUWA LINANITULIZA SANA MPAKA NASHANGAA,NAOMBA NAMI NIKWAMBIE "UNYAMALAGE"Amen, nashukuru sana.
Nawe pia ubarikiweusiku mwema!

Hakuna kitu kinacholeta faraja na furaha kama kusaidia wahitaji hata kama huna kitu,kushare kidogo ulichonacho na wale ambao hawana kabisa imagine unaenda hospital kumtembelea ndugu yako amelazwa mnajikuta mko 20 mmezunguka kitanda ,lakini next bed kuna mtu kapata referal kuja muhimbili hana ndugu hebu sogea tumia muda nae,ongea nae mpe kidogo ulichonacho aaah huwezi amini utakuwa unatafuta safari a kutembelea watu wa aina hii na hutapungukiwa,nauli,cha kuwapa hata neno la kuwatia moyo .hata majumbani wapo wengi wanahitaji faraja ,kutiwa moyo,kusikilizwa pata muda wa kuwaona watu hawa wapo wengi sana Mungu atutie nguvu
Nehemia 8
10b....furaha ya BWANA ni nguvu zenu.
Haleuiya![]()
MATENDO YA MITUME 20
35.Katika mambo yote nimewaonyesha ya kuwa kwa kushika kazi hivi imewapasa kuwasaidia wanyonge,na kuyakumbuka maneno ya Bwana Yesu ,jinsi alivyosema mwenyewe. Ni heri kutoa kuliko kupokea
nakesha hapa leo

Ishi na watu kwa wema utafurahia muziki
Najua tumekuwa na wakti mzuri na tunapoenda kuimaliza Jumatano hii basi kama kawaida Makapuku nawakaribisha katika ka-kipengele haka ka ala za muziki na hasa tukijikita katika udonoaji na wadonoaji wa gitaa.
Kwa wapenzi wa muziki wa dansi miaka 20 nyuma, na wanaofuatilia miziki ya bakulutu, bendi ya Maquis Original ni bendi yenye umaarufu mkubwa hapa nchini ikiundwa na wanamuziki wengi toka Kongo na mmoja wao ni mpiga gitaa maarufu Dekula Kahanga almaarufu Vumbi. Mitindo kama Zembwela na Sendema haiwezi kukutoka kiurahisi.
Sikiza vibao cha Ngalula, Mayanga, Makumbele, Karubandika na vingine vingi katika mitindo ya Sendemaa na Zembwela. Gitaa utakalosikia linamuongoza muimbaji awe ni Tshimanga Assossa au Kasaloo basi ni la nguli Dekula Kahanga.
Bado yupo na anafanya muziki wake nchini Sweden akiwa na band yake ya Dekula Band.
Hapa nakuwekea baadhi ya nyimbo alizoweza kuzicharaza na kuzifanya zikavutia zaidi.
FYI: Upigaji wake mzuri umechangiwa zaidi na kufuatisha mipigo ya Nguza Viking (yupo jela sasa akitumikia adhabu ya maisha gerezani)
Dekula anaamini katika kuishi vizuri na watu, kwani huwezi kujua maisha yatakupeleka wapi.
hapa najiuliza nikuache na Ngalula au nitupie clip ya YouTube ambayo anacharaza baadhi ya nyimbo zake, isiwe ishu, nakuacha na zote mbili, suala la kukumalizia MB zako mpenzi msomaji liko nje ya uwezo wangu (joke)
Ubarikiwe Mussolin5,kikwetu huwa tunaambiwa "UNYAMALAGE" KATIKA VIPINDI KAMA HIVI ,HILI NENO LIMEKUWA LINANITULIZA SANA MPAKA NASHANGAA,NAOMBA NAMI NIKWAMBIE "UNYAMALAGE"
Maana yake ni ipi?Ubarikiwe Mussolin5,kikwetu huwa tunaambiwa "UNYAMALAGE" KATIKA VIPINDI KAMA HIVI ,HILI NENO LIMEKUWA LINANITULIZA SANA MPAKA NASHANGAA,NAOMBA NAMI NIKWAMBIE "UNYAMALAGE"
Amina,nimefurahi sana..kutoa bila sababu..bila kutegemea malipo..bila kutafuta sifa..bila kutegemea shukurani..BILA SABABU YOYOTE NDIO KUTOA KWEMA...ni sababu pekee iliyonifanya niwe mchangia damu bila malipo hadi leo (well, huwa wanatoa soda na biskuti-natamani wangekuwa wanatoa kinywaji kwa tusiokunywa soda, basi hata chai).
Sijawahi kupungukiwa damu labda hela, na mara nyingi nina furaha sababu naamini ni tendo jema kujitolea damu, linkufanya uwe na nidhamu.

nakesha hapa leo
Ubarikiwe mkuu Jorowe...ni sababu pekee iliyonifanya niwe mchangia damu bila malipo hadi leo (well, huwa wanatoa soda na biskuti-natamani wangekuwa wanatoa kinywaji kwa tusiokunywa soda, basi hata chai).
Sijawahi kupungukiwa damu labda hela, na mara nyingi nina furaha sababu naamini ni tendo jema kujitolea damu, linkufanya uwe na nidhamu.