Makapuku Forum

1981 - Mwanamuziki mashuhuri wa Regge na Mwanaharakati kutoka Jamaica, Robert Nesta ' Bob ' Marley anafariki Dunia.

Mmoja kati ya watu maarufu katika karne ya 20.

Alifariki kutokana na kansa. Aliacha watoto 13 kutoka kwa mama watatu.

Alizikwa kitaifa siku 10 baadae huko Kingston, Jamaica.

Alifariki akiwa na miaka 36, na kuwa mmoja kati ya watu maarufu kufariki kabla ya kufikisha miaka 50.

Pamoja na kwamba leo ni miaka 36 toka afariki lakini bado amebakia kuwa maarufu utadhani amefariki mwaka jana.
 

Bora hata Joseph Goebbels akiamua kujiua baada ya kuzingirwa kuliko kuaibishwa na kutundikwa kama paka
...
..
 
HBD Andres Iniesta
 
HBD Giavon Dos Santos
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…