Makapuku Forum

Makapuku Forum

1/Robert Mugabe
ee4020564922e78d93bbcf05cebcf9bc.jpg
6d0903d4a8f451eb4e54e13041332df0.jpg

Komredi Mugabe ndiye Rais wa Zimbabwe
Alizaliwa Februari 21 1924
Wakati Zimbabwe ikijipatia uhuru wake yeye alikuwa Waziri Mkuu
Akawa Rais tarehe 18/04/1980 akichukua nadaraka kutoka kwa Rais Banana ambaye ndiye Rais wa kwanza wa Taifa hilo
Tangu hapo anaitisha uchaguzi kama kuzuga tu na hsta akishindwa haachii mafaraka...

fa722a5a5d10f4e22c52a391752bb960.jpg
Nchi yake ndo nchi maskini zaidi duniani kwa sasa kiasi cha kuanza kurudi kwenye barter trade kutokana na vikwazo na mfumuko wa bsi kiasi kwamba Dola trilioni 100 ya Zimbabwe ilikuwa na thamani isiyofikia hata buku tu la kibongo1000/=) yaani hata mkate haitoshi kwasasa wameamua kuruhusu matumizi ya Dola ya Kimarekani pamoja na Rand ya Afrika Kusini maana pesa yao ipo hoi
Ana imri wa miaka 93
.
.
.

.Shukrani kwa wote waliofuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
...............
Bitoz
 
Mbwembwe unazo sana, hasa kwa mtu ambaye hajakujulia. Ila lazima niseme kuwa umekomaa sana kifkra; na hili ni jambo jema!
SHIMBA bhana
Siku hizi hata tuchokozane vipi hatufiki mbali
Mi mwanzoni nilikuwa nspaniki au kuongea sana kuhusu vitu vidogodogo lakini nimaanza kujifunza kupotezea
Ila km threaf mtu kanitaja kwa mema namjibu km kwa mabaya napiga kimya
Pia thread za kuzinguana sijui makapuku haina dili imejaa watoto hizo nazikaushia tu
...........
 
.....hayo maisha yaliyo mteremko hivyo, sometime kama maisha yanakosa something sijui nini/utamu/thamani I don't know what can I say!!!.....af yote ni ubatili tu chini ya jua
Na utakuta hana furaha na maisha yake hayana thamani. Siku the great equalizer (Mr. Death) atakapomfikia halafu waje wasome diary yake ndiyo utakutana na mambo ya ajabu. Ni nani aliyetegemea, kwa mfano, mtu kama marehemu princess Diana kuwa na maisha ya "shida?" Ndiyo maana ikasemwa kwamba there is more to life than just material things....
06b9547dc7f63b710f44ad0e0c2ff506.jpg
 
1/Robert Mugabe
ee4020564922e78d93bbcf05cebcf9bc.jpg
6d0903d4a8f451eb4e54e13041332df0.jpg

Komredi Mugabe ndiye Rais wa Zimbabwe
Alizaliwa Februari 21 1924
Wakati Zimbabwe ikijipatia uhuru wake yeye alikuwa Waziri Mkuu
Akawa Rais tarehe 18/04/1980 akichukua nadaraka kutoka kwa Rais Banana ambaye ndiye Rais wa kwanza wa Taifa hilo
Tangu hapo anaitisha uchaguzi kama kuzuga tu na hsta akishindwa haachii mafaraka...

fa722a5a5d10f4e22c52a391752bb960.jpg
Nchi yake ndo nchi maskini zaidi duniani kwa sasa kiasi cha kuanza kurudi kwenye barter trade kutokana na vikwazo na mfumuko wa bsi kiasi kwamba Dola trilioni 100 ya Zimbabwe ilikuwa na thamani isiyofikia hata buku tu la kibongo1000/=) yaani hata mkate haitoshi kwasasa wameamua kuruhusu matumizi ya Dola ya Kimarekani pamoja na Rand ya Afrika Kusini maana pesa yao ipo hoi
Ana imri wa miaka 93
.
.
.

.Shukrani kwa wote waliofuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
...............
Chuma Chenyewe le Comrade
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom