Makapuku Forum


Tpfauti ya NK na Z
Ni kwamba NK inajitegemea kwa mambo mengi mfano teknolojia
Pia huko NK sio rahisi CIA kumpata kibaraka wa kumtumia kuanzisha chokochoko
.......
Pamoja na ukaribu wake, huyu comrade walimshindwa. Majaribio ya kumuua zaidi ya 600 yote kapa. CIA nao wana kikomo chao!
 
Pole sana mkuu Mussolin5 naungana nawe katika kumuombea binamu mpendwa


NAMUOMBA MUNGU ATUPE UVUMILIVU WA KIMAPENDO,BWANA ALITOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIBARIKIWE NA DAIMA TUWE NA MATUMAINI,SINA NENO ZURI LA KUSEMA BALI NAOMBA TUUNGANE HAPA :

1 WATHESALONIKE 4

13.Lakini ,ndugu zangu,hatutaki msijue habari zao waliolala mauti,msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini.

14.Maana ,ikiwa twaamini ya kwamba,Yesu alikufa akafufuka vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu Mungu atawaleta pamoja naye.

15. Kwakuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana ,kwamba sisi tulio hai tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana,hakika hatutawatangulia wao walioisha kulala mauti.

16. Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko ,na sauti ya malaika mkuu na parapanda ya Mungu,nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza.

17.Kisha sisi tulio hai tuliosalia ,tutanyakuliwa pamoja nao mawinguni,ili tumlaki Bwana hewani na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.

18.Basi farijianeni kwa maneno haya.

Naomba tuamini kuwa Binamu mpendwa wetu amelala na tutaonana siku ya mwisho,nafsi yake ipokelewe na Mungu wetu


"Wale tunaowapenda hawaendi milele,wanatembea pembeni yetu daima,hatuwasikii,hatuwaoni
Lakini wapo daima nasi,tunawapenda,tunawahitaji,tunawakumbuka wanadumu mioyoni mwetu....upendo wetu kwao ni ishara ya uwepo wao maana walituachia upendo"
 
Nadhani Mother Theresa ni kati ya watu waliokuwa na Furaha sana maishani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…