Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] musukuma unanifurahisha sanaWewe Lee ulimpata kwa sababu ulikuwa unatafuta ye yote ali mradi mwanaume? Were you that desperate?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] musukuma unanifurahisha sanaWewe Lee ulimpata kwa sababu ulikuwa unatafuta ye yote ali mradi mwanaume? Were you that desperate?
[emoji85] [emoji85][emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Mbona unataka kumlostisha mwenzio.... Yeyeto tu... Hapana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukichagua sana unakosea ww sema yeyote tu mradi mwanamke tu basi
[emoji125]simu anayo lee ndio kaandika[emoji85] [emoji87]
HakikaNadhani Mother Theresa ni kati ya watu waliokuwa na Furaha sana maishani
Nitaanza kuongea kihehe na kindali maana naona kinyakyusa kimeingiliwasanaaa usishangae nikiongea
uzi wa wanawake vibonge [emoji134] [emoji134] ulitaka nivunjia ndoa ule uzi lee hajaupendaNimesema sometimes.... Ha ha ha ha ha ha...
Kama ile siku ulipotoa ule uzi wako ha ha ha ha ha.
Huwa nafadhaika sana nikikuudhi. Ndiyo maana huwa naomba msamaha immediately. Unaonekana u mwenye furaha na bashasha tele ndo maana unapendwa sana hapa JF. Remain that way....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] musukuma unanifurahisha sana
Ndo unaenda kwa Lee hivyo kuifata[emoji125]simu anayo lee ndio kaandika
Ni wewe usijikane musukuma kasemaNo!!! [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ili mradi mwanamke jamaanMbona unataka kumlostisha mwenzio.... Yeyeto tu... Hapana.
Yupo vizuri[emoji122]Mazoezi sana. Kila siku anakimbia kilomita 5....
Wewe ulikubali kwa Ilimradi mwanamme tu.... Wacha hizo Shunie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ili mradi mwanamke jamaan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitaanza kuongea kihehe na kindali maana naona kinyakyusa kimeingiliwa
Asante sana nimeelewa.Alilima kipindi cha kulima kilipoisha akarudisha trekta za watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Oyooooo
[emoji17][emoji125]simu anayo lee ndio kaandika
hamna bana wala huwa hunikasirishi sema sometimes unakua na kaubishi flani lkn nimeshakuzoea usijal tupo pamojaHuwa nafadhaika sana nikikuudhi. Ndiyo maana huwa naomba msamaha immediately. Unaonekana u mwenye furaha na bashasha tele ndo maana unapendwa sana hapa JF. Remain that way....
Aliona kama unatoa siri....uzi wa wanawake vibonge [emoji134] [emoji134] ulitaka nivunjia ndoa ule uzi lee hajaupenda
hahahahhahNdo unaenda kwa Lee hivyo kuifata