Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,831
Na mimi ukipata cougar bonge bonge hivi (jimama) jeupe lenye msambwanda usinisahau [emoji23][emoji23][emoji23]bado anaendelea nao nitamuweka kwa husna shedede atulizane
Na mimi ukipata cougar bonge bonge hivi (jimama) jeupe lenye msambwanda usinisahau [emoji23][emoji23][emoji23]bado anaendelea nao nitamuweka kwa husna shedede atulizane
Nawe pia ShemMuwe na ucku mwema wapendwa Mungu akipenda tuonane kesho
jamaan [emoji134] [emoji134] matata tena [emoji23][emoji23]Gud lady..... Though matata sometimes.
Naipenda
[emoji120] [emoji120]Pole sana mkuu Mussolin5 naungana nawe katika kumuombea binamu mpendwa[emoji120]
NAMUOMBA MUNGU ATUPE UVUMILIVU WA KIMAPENDO,BWANA ALITOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIBARIKIWE NA DAIMA TUWE NA MATUMAINI,SINA NENO ZURI LA KUSEMA BALI NAOMBA TUUNGANE HAPA :
1 WATHESALONIKE 4
13.Lakini ,ndugu zangu,hatutaki msijue habari zao waliolala mauti,msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini.
14.Maana ,ikiwa twaamini ya kwamba,Yesu alikufa akafufuka vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu Mungu atawaleta pamoja naye.
15. Kwakuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana ,kwamba sisi tulio hai tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana,hakika hatutawatangulia wao walioisha kulala mauti.
16. Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko ,na sauti ya malaika mkuu na parapanda ya Mungu,nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza.
17.Kisha sisi tulio hai tuliosalia ,tutanyakuliwa pamoja nao mawinguni,ili tumlaki Bwana hewani na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.
18.Basi farijianeni kwa maneno haya.
Naomba tuamini kuwa Binamu mpendwa wetu amelala na tutaonana siku ya mwisho,nafsi yake ipokelewe na Mungu wetu[emoji120]
"Wale tunaowapenda hawaendi milele,wanatembea pembeni yetu daima,hatuwasikii,hatuwaoni
Lakini wapo daima nasi,tunawapenda,tunawahitaji,tunawakumbuka wanadumu mioyoni mwetu....upendo wetu kwao ni ishara ya uwepo wao maana waituachia upendo"
[emoji4] mlinzi atakuwa goigoi[emoji125]Aisee. Unagawa wa(na)ume ka peremende. Shedede alikuwa anahangaika sana hapa. Kwa niaba yake nasema usimsahau!
kuliko mondray anao wengi anawasumbua tu nampa mlinzi wangu na yy aachane na geishaBora mpe hata huyo maana anaonekana amekosa tulizo la moyo
[emoji101]Tramp amemfuta kazi Mkurugenzi wa FBI.
Kweli nyakati zimebadilika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukichagua sana unakosea ww sema yeyote tu mradi mwanamke tu basiNa mimi ukipata cougar bonge bonge hivi jeupe usinisahau [emoji23][emoji23][emoji23]
Ushirika kinyakyusa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue nimefika ushirika
Sawa asanteKunywa kwa kiasi tu haina shida
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkongoman, mapera tena? Mtapata madakesi bure[emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Wewe Lee ulimpata kwa sababu ulikuwa unatafuta ye yote ali mradi mwanaume? Were you that desperate?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukichagua sana unakosea ww sema yeyote tu mradi mwanamke tu basi
[emoji144]Na mimi ukipata cougar bonge bonge hivi (jimama) jeupe lenye msambwanda usinisahau [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]kuliko mondray anao wengi anawasumbua tu nampa mlinzi wangu na yy aachane na geisha
sanaaa usishangae nikiongeaUshirika kinyakyusa sana
Eti ni ww huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji85] [emoji87]kuliko mondray anao wengi anawasumbua tu nampa mlinzi wangu na yy aachane na geisha
Nimesema sometimes.... Ha ha ha ha ha ha...jamaan [emoji134] [emoji134] matata tena [emoji23][emoji23]
No!!! [emoji3]Eti ni ww huyo