[emoji120] Bitoz1/Robert Mugabe
Komredi Mugabe ndiye Rais wa Zimbabwe
Alizaliwa Februari 21 1924
Wakati Zimbabwe ikijipatia uhuru wake yeye alikuwa Waziri Mkuu
Akawa Rais tarehe 18/04/1980 akichukua nadaraka kutoka kwa Rais Banana ambaye ndiye Rais wa kwanza wa Taifa hilo
Tangu hapo anaitisha uchaguzi kama kuzuga tu na hsta akishindwa haachii mafaraka...
Nchi yake ndo nchi maskini zaidi duniani kwa sasa kiasi cha kuanza kurudi kwenye barter trade kutokana na vikwazo na mfumuko wa bsi kiasi kwamba Dola trilioni 100 ya Zimbabwe ilikuwa na thamani isiyofikia hata buku tu la kibongo1000/=) yaani hata mkate haitoshi kwasasa wameamua kuruhusu matumizi ya Dola ya Kimarekani pamoja na Rand ya Afrika Kusini maana pesa yao ipo hoi
Ana imri wa miaka 93
.
.
.
.Shukrani kwa wote waliofuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
...............
We ni wanan?Mi sio wake
he he basi sawaUnaona eeh..... Alafu sisi wanaume tukiomba ofa kwa wanawake ni kutaka kuboresha mazingira tu... Ili na wewe upate uhalali wa kutoa ofa kubwa
Sasa Ujiandae kwa ofa languhe he basi sawa
[emoji15]Khaaaa toka lini shululu wa tumosa we si ulimkataa
Kifo ndio kinaleta heshima......hayo maisha yaliyo mteremko hivyo, sometime kama maisha yanakosa something sijui nini/utamu/thamani I don't know what can I say!!!.....af yote ni ubatili tu chini ya jua[emoji41]
omba ruhusa kwa lee akiruhusu nitapokea si uliniambia ni rafiki yakoSasa Ujiandae kwa ofa langu
Waacha!!![emoji4]Mm mbona nipo kwa Yesu mda tu
NdiooooWaacha!!![emoji4]
[emoji276]Si ulikataa haujatoa jibu mpk unaniuliza mm nimekuwa kuwadi nishampa tumosa ww kaa nikutaftie mwingine
SHIMBA bhanaMbwembwe unazo sana, hasa kwa mtu ambaye hajakujulia. Ila lazima niseme kuwa umekomaa sana kifkra; na hili ni jambo jema!
Na utakuta hana furaha na maisha yake hayana thamani. Siku the great equalizer (Mr. Death) atakapomfikia halafu waje wasome diary yake ndiyo utakutana na mambo ya ajabu. Ni nani aliyetegemea, kwa mfano, mtu kama marehemu princess Diana kuwa na maisha ya "shida?" Ndiyo maana ikasemwa kwamba there is more to life than just material things.........hayo maisha yaliyo mteremko hivyo, sometime kama maisha yanakosa something sijui nini/utamu/thamani I don't know what can I say!!!.....af yote ni ubatili tu chini ya jua[emoji41]
Vipiiiiiiii[emoji276]
Chuma Chenyewe le Comrade[emoji123]1/Robert Mugabe
Komredi Mugabe ndiye Rais wa Zimbabwe
Alizaliwa Februari 21 1924
Wakati Zimbabwe ikijipatia uhuru wake yeye alikuwa Waziri Mkuu
Akawa Rais tarehe 18/04/1980 akichukua nadaraka kutoka kwa Rais Banana ambaye ndiye Rais wa kwanza wa Taifa hilo
Tangu hapo anaitisha uchaguzi kama kuzuga tu na hsta akishindwa haachii mafaraka...
Nchi yake ndo nchi maskini zaidi duniani kwa sasa kiasi cha kuanza kurudi kwenye barter trade kutokana na vikwazo na mfumuko wa bsi kiasi kwamba Dola trilioni 100 ya Zimbabwe ilikuwa na thamani isiyofikia hata buku tu la kibongo1000/=) yaani hata mkate haitoshi kwasasa wameamua kuruhusu matumizi ya Dola ya Kimarekani pamoja na Rand ya Afrika Kusini maana pesa yao ipo hoi
Ana imri wa miaka 93
.
.
.
.Shukrani kwa wote waliofuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
...............
Mh!!![emoji15]lee wangu yupo flat hana kifriji kwani umeambiwa papaa yule
Tutakuletea mapera utafuneYa mapera
Benzema kafanya kaziGame hilo limeshaisha
Kitebdo cha kupigwa 3 first leg kimeshaiua hii mechi
Ila naona wameanza kurudisha
......
Shida kila mtu anazo.....hayo maisha yaliyo mteremko hivyo, sometime kama maisha yanakosa something sijui nini/utamu/thamani I don't know what can I say!!!.....af yote ni ubatili tu chini ya jua[emoji41]
Huyu huyu wa Nazareth au mwingine?[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Mm mbona nipo kwa Yesu mda tu
Tununu[emoji23]me maji tu naridhika baba mchuchu