Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Dk ya 33, Atletico anaongoza 2-0 japo ni ngumu kuwazuia Real wasipate goli.Game hilo limeshaisha
Kitebdo cha kupigwa 3 first leg kimeshaiua hii mechi
Ila naona wameanza kurudisha
......
Ana mke mzuri wa sura na umbo,kama anaongoza viziri atakua mshauri mzuri pia.8/Paul Biya
Huyu ni Rais wa Cameroon ambaye amezaliwa Februari 13 mnamo mwaka 1933
Ndiye anashikiria rekodi ya Rais wa kuchaguliwa aliyepo madarakani muda mrefu zaidi wa miaka 33 yaani anashinda kila uchaguzi ukifanyika
Ana umri wa miaka 84
.............
Dk ya 33, Atletico anaongoza 2-0 japo ni ngumu kuwazuia Real wasipate goli.
kwani mzee wa kungoa we mariooHio ofa na mimi jamani
Yuko vizuri,wanakula natural sana,mazoezi,meditation ,yoga inawasaidia kiafya9/Akihito
Huyu ni Mfalme wa Japan aliyezaliwa mnamo Desemba 23 mwaka 1933
Alianza kuirawala Japan kuanzia mwaka 1989 baada ya kifo cha Mfalme Hirohito ambaye alikuwa ni babaye
Anafahamika zaidi nchini humo kutokana na machapisho yake
Ana umri wa miaka 83 lakini kwa huko Japan ni km kijana tu maana kuna vikongwe kibao vyenye zaidi ya miaka 100
.........
mkuu vip
Njemawakuu habar za saivii
Hapo ndipo ugumu unapokuja.
Zile 3 bado zitawacost
Hawatakiwi kuruhusu goli
Hata wakishinda 4:1 wanatoka
...........
Ndiyo maana the little fat boy wa North Korea ana wafuasi wengi duniani. Amegangamara dhidi ya ubabe wa Marekani na kiburi hiki kinaleta msisimko japo gharama yake yaweza kuwa kubwa hasa kwa wananchi wake. Anawachachafya na hawawezi kumfanya walichowafanyia akina Gaddafi, Saddam Hussein, Nkrumah, Lumumba na mamilioni mengine ya raia hapa duniani walioathirika na siasa zao za kibabe.Pia mwanzoni mwa utawala wake Zimbabwe ilikuwa na mwelekeo mzuri kimaendeleo
Kilichomponza ni kugusa maslahi ya Wazungu/Walowezi kwa kuwanyanganya ardhi na kuitaifisha hivyo ili kumkomesha ndio wakaanza kumfanyia figisu na sasa ni nchi kinara wa umaskini duniani
Wazingu ukiyagusa maslahi yao tu umekwisha
.........
Sijaomba kwa mwanamme mwenzangukwani mzee wa kungoa we marioowanaume wanaopenda ofa ujue marioo
Asante sana mkuuTOP TEN
Waswahili husema ukubwa dawa japo siyo kila mkubwa ana hekima na busara
Sasa leo tuwaangalie vikongwe vinavyoongoza nchi ...yaani viongozi wazee waliopo madarakani
Haijalishi ni wafalme au marais ...
Karibuni
.........
si umeomba kwa mwanamke jamaan nakutania banaSijaomba kwa mwanamme mwenzangu
Usijali... Tuko pamoja... Wanaume na wanawake kuombana kawaida.. Ha ha ha ha .si umeomba kwa mwanamke jamaan nakutania bana
Mbwembwe unazo sana, hasa kwa mtu ambaye hajakujulia. Ila lazima niseme kuwa umekomaa sana kifkra; na hili ni jambo jema!Niliona nikagonga like zen nikamjibu na kusepa
Huwa sifanyi sana mbwembwe
......
ni kweliUsijali... Tuko pamoja... Wanaume na wanawake kuombana kawaida.. Ha ha ha ha .
Ndiyo maana the little fat boy wa North Korea ana wafuasi wengi duniani. Amegangamara dhidi ya ubabe wa Marekani na kiburi hiki kinaleta msisimko japo gharama yake yaweza kuwa kubwa hasa kwa wananchi wake. Anawachachafya na hawawezi kumfanya walichowafanyia akina Gaddafi, Saddam Hussein, Nkrumah, Lumumba na mamilioni mengine ya raia hapa duniani walioathirika na siasa zao za kibabe.
Mugabe hakujipanga vizuri. Huwezi kunyang'anya shamba la ekari 1,000 fully mechanized ukawagawia watu ambao hawana ujuzi na kilimo cha kisasa. Haikuchukua hata miaka mitano kwa Zimbabwe kutoka kuwa basket of Africa mpaka kuwa ombaomba wa chakula. Kupambana na hawa jamaa siyo lelemama ndiyo maana hata huyu dogo wa Korea imebidi awe na maslaha haya makali ili angalau kupata leverage kidogo...
.....hayo maisha yaliyo mteremko hivyo, sometime kama maisha yanakosa something sijui nini/utamu/thamani I don't know what can I say!!!.....af yote ni ubatili tu chini ya juaNilitegemea awepo kwenye list.
Amekula chumvi ya kutosha. Nafikiri katika maisha yake hajui kitu kinaitwa shida, njaa, tabu nk.
Kwa faida ya wote:
Malkia Elizabeth hajawahi kurudia nguo wala vito vya thamani anavyovaa.
Ndio mtu anayemiliki ardhi kubwa zaidi duniani.
Pia ni mkuu wa nchi za Canada na Australia.
Unaona eeh..... Alafu sisi wanaume tukiomba ofa kwa wanawake ni kutaka kuboresha mazingira tu... Ili na wewe upate uhalali wa kutoa ofa kubwani kweli