Makapuku Forum

Nilitegemea awepo kwenye list.

Amekula chumvi ya kutosha. Nafikiri katika maisha yake hajui kitu kinaitwa shida, njaa, tabu nk.

Kwa faida ya wote:

Malkia Elizabeth hajawahi kurudia nguo wala vito vya thamani anavyovaa.

Ndio mtu anayemiliki ardhi kubwa zaidi duniani.

Pia ni mkuu wa nchi za Canada na Australia.
 
Ukweli nitasema daima huu Uzi mbaya mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
alafu ingawa amekula chumvi nyingi lakini yupo fit kimwili, hata ukimuangalia uwezi kuamini kabisa umri na muonekano wake
 
1/Robert Mugabe
Komredi Mugabe ndiye Rais wa Zimbabwe
Alizaliwa Februari 21 1924
Wakati Zimbabwe ikijipatia uhuru wake yeye alikuwa Waziri Mkuu
Akawa Rais tarehe 18/04/1980 akichukua nadaraka kutoka kwa Rais Banana ambaye ndiye Rais wa kwanza wa Taifa hilo
Tangu hapo anaitisha uchaguzi kama kuzuga tu na hsta akishindwa haachii mafaraka...

Nchi yake ndo nchi maskini zaidi duniani kwa sasa kiasi cha kuanza kurudi kwenye barter trade kutokana na vikwazo na mfumuko wa bsi kiasi kwamba Dola trilioni 100 ya Zimbabwe ilikuwa na thamani isiyofikia hata buku tu la kibongo1000/=) yaani hata mkate haitoshi kwasasa wameamua kuruhusu matumizi ya Dola ya Kimarekani pamoja na Rand ya Afrika Kusini maana pesa yao ipo hoi
Ana imri wa miaka 93
.
.
.

.Shukrani kwa wote waliofuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
...............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…