Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Pamoja mkuuhuku kwema kiongozi
Pamoja mkuuhuku kwema kiongozi
Hao washazoea kushika na kurudiPole kwa timu uipendayo kushuka daraja
Mi niko poa mkuu za hapo unapo fanyia mandalizi ya kulaNzur cjui ww
Kweli mkuu ila hapo kwenye Newcastle nawapenda wanacheza vizur sana na wengine walio baki chini kana QPR, WIGAN hizi timu zingepata mwekezaji makini ziko vizur sanaHao washazoea kushika na kurudi
Nafikiri uongozi ndo chanzo ...inawezekana wana uchumi mbaya
.
Nafurahi zaidi ukiona Newcastle chini ya Rafa Benitez imerudi
Hii ni timu kongwe na inashabikiwa hadi na Malkia(km sijakosea)
.
Pia Brighton mayo italeta changamoto....kawaida kila msimu timu 1 au 2 zilizopanda daraja hushuka zikikaza basi musimu miwili 2
Achana na akina Leicester,West Ham n.k Hawa ni eazoefu wa ligi kuu
..............
1955 - Vuguvugu la Vita Baridi : Ujerumani Magharibi yajiunga na Umoja wa Kujihami wa Nchi za Magharibi ( NATO )
2001 - Mashabiki 191 wa soka nchini Ghana wanafariki kwa kukanyagana uwanjani mara baada ya polisi kupiga mabomu ya machozi kufuatia maamuzi tata ya refa katika uwanja wa Accra.
am ok nyageiMorning how are you comedian
ooh kindfully thanksWelcome
1949 - Louis II anafariki dunia.
Alikuwa ni prince wa jimbo la Monaco.
Katika kumuenzi, uwanja wa soka wa klabubya Monaco umepewa jina lake.
Newcastle wapo vizuri pia uwepo wa kocha mzoefu km Benitez siyo jambo dogoKweli mkuu ila hapo kwenye Newcastle nawapenda wanacheza vizur sana na wengine walio baki chini kana QPR, WIGAN hizi timu zingepata mwekezaji makini ziko vizur sana
1955 - Melesi Zenawi anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Ethiopia.
Sawa mkuu tusubiri mwezi wa nane kipute kikianzaNewcastle wapo vizuri pia uwepo wa kocha mzoefu km Benitez siyo jambo dogo
Wigan sijawafuatilia
......
Huko kwenu hakuna mvua?Nzur cjui ww
Mkuu mzima kapicha ka huko bondeni tuone kama tunaweza kuwahamisha
Hapo si utakuwa unaendesha mradi wa ufugaji wa samaki
Aulizwe Bashite ndo ana kadiploma ka uvuviHapo si utakuwa unaendesha mradi wa ufugaji wa samaki
uwekezaji wa zao la mbu piaHapo si utakuwa unaendesha mradi wa ufugaji wa samaki
Pamoja kamanda majukumu memaAulizwe Bashite ndo ana kadiploma ka uvuvi
![]()
![]()
![]()
.
.
.tukutane baadaye
............
Mkuu nasikia dar kuna mbu sana na joto kaliuwekezaji wa zao la mbu pia
Huku ni safi tuMi niko poa mkuu za hapo unapo fanyia mandalizi ya kula