Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,906
inaonekanaAisee, makapuku inawauma sana
inaonekanaAisee, makapuku inawauma sana
Tena kubwa sanakazi ipo
Asante bitoz kwa top ten1/Prince Luis Felipe![]()
![]()
Kama mnavyojua utawala wa kifalme mrithi hujulikana mapema hata kabla ya kifo cha Mfalme
Sasa mwaka 1908 Mfalme Carlos wa Ureno aliuawa papo hapo wakati wa ziara ya kifalme ambapo pia mwanawe Luis Felipe alijeruhiwa
Sasa wakati anawahishwa hospital I tayari alitambulika km Mfalme japo alikuwa bado hajavalishwa taji rasmi...ndani ya dakika 30 akafariki dunua akiwa njiani kupelekwa hispitali kutokana na kupoteza damu nyingi
.
.
Tukutane kesho
Mwisho
..............
SijaelewaAsante mheshimiwa waziri wa Makapu
Ninaomba uongozi katika chama cha Makapuku ndugu zangu wana Kapuku
Naomba kuchukua fursa hii kuuza Sera zangu kwenu
1- Nitakapo kuwa mteule wa nafasi ya makapuku kambi ya arosto nitafanya ya fatayo
a- Wale makapuku ambao soksi za viatu vyao zimetoboka nitatoa ofer ya soks za mitumba kutoka China kwa kila member pear mbili
b- Nitakapo fanikiwa kuwa bosi kutoka kambi ya arosto nitahakikisha familia za makapuku hazifugi panya, paka, na mbwa kwa sababu hawa wanachangia kutufanya tuemee kilo nyingi za sembe wakati bei ya sembe imepaa
c- Baada ya weak tatu baada ya kufanikiwa kuteuliwa nitaboresha soko la mbagamboga pale Ilala sehem ambayo makapuku hujipatia mafungu ya mchicha na bilinganya kwa bei rahisi kabisa huku wakilazimika kukesha usiku kucha
Asanteni Makapuku kwa kunisikiliza
Makofiiiiii
Ahsante mkuu kwa top ten1/Prince Luis Felipe![]()
![]()
Kama mnavyojua utawala wa kifalme mrithi hujulikana mapema hata kabla ya kifo cha Mfalme
Sasa mwaka 1908 Mfalme Carlos wa Ureno aliuawa papo hapo wakati wa ziara ya kifalme ambapo pia mwanawe Luis Felipe alijeruhiwa
Sasa wakati anawahishwa hospital I tayari alitambulika km Mfalme japo alikuwa bado hajavalishwa taji rasmi...ndani ya dakika 30 akafariki dunua akiwa njiani kupelekwa hispitali kutokana na kupoteza damu nyingi
.
.
Tukutane kesho
Mwisho
..............
Hapana shemela wangu,wewe tenaShemela mm na ww tuna ugomviiiu
Ndio nimeziona shemela, uko poa lakini shemelashemela quote zangu hujaziona au
Sio hizi bana sipo poa kabisa hivi baby wangu karudi porini au mana hata sijaagana nae au ktk pita pita zako umemuona kwenye majukwaa mengineNdio nimeziona shemela, uko poa lakini shemela
nimekuquote mchan sijui umeskip pageHapana shemela wangu,wewe tena
Kuna hiyo picha inayoonekana hapo ikiwa na sanam za watu wamechakaa kama kuna mtu anamaelezo nayo naomba aniambie nimetamani kujua iko wapi na inahusu nini
Sijamuona kabisa, tangu amemaliza UFSio hizi bana sipo poa kabisa hivi baby wangu karudi porini au mana hata sijaagana nae au ktk pita pita zako umemuona kwenye majukwaa mengine
Nimeskip, page zilikuwa nyingi sananimekuquote mchan sijui umeskip page
Nimemmiss huyo mkaka jamaan
anatembea na roho yanguIla anaonekana yuko busy sanaNimemmiss huyo mkaka jamaananatembea na roho yangu
aisee sijui karudi poriniSijamuona kabisa, tangu amemaliza UF
mana yule mtu aliweka uzi kamvuruga jana hata kuagwa sijaagwa
ni kweli yupo busy nahisi atakua karudi poriniIla anaonekana yuko busy sana

Afrika katika ubora wake uliopitiliza.2/Siaka Stevens![]()
Huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Sierra Leone mnamo March 21 1967 aluapishwa kuongoza Taifa hilo
Lakini ndani ya nusu saa tu waasi wakamzingira na kumkamata hivyo kuwa nwiaho wa utawala wake
Baadaye akafanikiwa kurudi madarakani kuanzia mwaka 1968
Yaani alitawala nusu saa tu mwaka 1967 kama Waziri Mkuu
Huyu alikuwa Rais wa Sierra Leone kuanzia mwaka 1971 hadi 1985
.......