Makapuku Forum

Mfalme ambaye hakutawala hata kidogo.

Asante mkuu, ukipata muda tutafutie na waliokula chumvi nyingi madarakani, hasa wakiongozwa na bibi yetu Elizabeth wa II bila kumsahau Komredi Mugabe!
 
Binamu picha ya saa na simu ya tachiiii naomba


Nimeweza kuipiga picha saa, na sio siri imetoka bomba sana, yaani pamoja na JF leo kuwa nyeusi lakini saa yangu imetokea na rangi ya shaba mkwaruzo.
Picha ya 'tachi' ndo inanizingua , nasoma manual yake hapa kuona kama inaweza kujipiga yenyewe.

Nikimaliza nitakuomba unielekeza jinsi ya kuaplodi picha, kama itahitajika link basi nitamuomba Mondray anisaidie.

mzima lakini
 
mzima kiasi binamu vipi ww unaendeleaje
 
Muziki Ni Maisha.

Habari Makapuku, ninakuletea tena kipengele chetu cha muziki tukijikita zaidi kwenye gitaa. Hata hivyo leo ni siku ya tofauti kidogo, maana ndiyo kwanza tumemaliza kuwasindikiza watanzania wenzetu 35 waliofariki kwa ajali huko mkoani Arusha. Mungu awapumzishe panapostahili hili tukitafakari namna ya kuepukana na ajali zinazoepukika.

Mkumbuke hatujasahau kilichotokea shule ya Shauritanga (nilipoteza rafiki yangu wa karibu sana).

Leo tutaangalia zaidi mapigo ya 'violin' na hasa kuendana na tukio la leo. Nilipandisha clip hizi mapema na sioni ubaya kurudia moja na hasa ile iliyopigwa na wanabendi ndani ya meli ya Titanic. Wimbo wanaoupiga unaitwa KARIBU ZAIDI NA WEWE upo kwenye nyimbo za Tenzi, kwa kiinglishi unaitwa Nearer My God to Thee.


Tuko pamoja sana. Love
 
Samtaimu watu wana mambo ya kushangaza ....shida yake anataka afanyiwe kila kitu
Yaani kashindwa kurudisha nyuma page 3 tu ili aipate hiyo picha?
Ni sawa na mtu kuwekewa chakula mezani halafu anaomba kulishwa
Duh
.............
Niliona nimsaidia tu, maana ndiyo picha iliyyokuwa inaonekana kwenye display ya kapuku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…